@naupenda.uislam: #creatorsearchinsights #alltiktokvideos

NAUPENDA UISLAM
NAUPENDA UISLAM
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 13:36:32 GMT
27630
453
69
169

Music

Download

Comments

mummy_809
Cherish :
Ila Abbas kiboko hii nafasi kaitaka sana 🤣
2026-07-22 13:24:34
15
eddy15085
Eddy150 :
Kwa Mujibu wa mafundisho ya Mtume wetu alikataza kunyenyekea huku: ndio mana tumefundishwa Adabu salaam:🥰
2026-07-23 16:30:35
1
uchebejruchebejr
uchebejruchebejr :
Heshima Ni kitu Muhim
2026-07-22 08:03:43
2
venslausblaise
Venslaus Blaise :
Hahahaha hahahaha.... iko siku mtasema watu kuwa weusi pia siyo dalili..
2026-07-22 05:08:20
5
user9390074951506
Ally :
sheikh wetu niwalidi tunamtaka turudishieni kipezi chetu
2026-07-22 06:44:52
2
user9223754085708
user9223754085708 :
shekh abasi tunakupenda lakini walid ni namba moja
2026-07-22 07:03:16
8
alidochi8
one1 :
Mara inafaa mara haifai Lugha gonganagongana
2026-07-23 06:27:36
0
babupolithii
babu polithi :
nilipata dada wa kazi kutoka bara nilikataa kunipigia magoti na nikamwambia subiri urudi kwwni ndo utapiga magotiii
2026-07-23 06:22:22
1
golaya72
Fatna Golaya :
Hapo wananongonezana tumemuweza Sheikh Walid
2026-07-22 19:13:48
1
000activeladyshamy
ActiveLady Shamy :
amekaimu tu kwa muda
2026-07-22 19:26:02
1
nasra.nassor55
Nasra Nassor :
Waleed❤️❤️❤️
2026-07-22 17:40:24
1
kassim_19
Kassim 19 :
Fanyeni mambo yenu kwani kamtukana mtu? acheni chuki za kipuuzi
2026-07-23 15:06:38
0
abuu.zeinab7
Abuu Zeinab :
HAMUKOSI LA KUSEMAAA
2026-07-21 20:11:08
0
ghanima_hilal
ghanima :
jamani njaa mbaya jamani pesa zinatafutwa tuu.
2026-07-22 14:48:35
1
user1558732878717
Salma :
inaumiza ila muacheni huy hy shekhe ambaye mmemteuwa msije mkamkosea mwenyezimungu
2026-07-23 12:25:00
0
mansourmtauni
Dr. Mtauni :
🤣🤣🤣hahahaaa
2026-07-21 16:08:26
2
chidomobile
Chido Mobile :
hamna kitu hapo eee jmn
2026-07-22 08:21:22
1
user1558732878717
Salma :
hy allah ameshapanga iwe yy japo waumini hatumpendi jambo akitaka allah inatosha sio mpaka wengine tupende japo tumeumia kwa sheikhe walidi kutolewa hatuna jinsi ili limeshaandikwa tukubaliane na matokeo yy haikuwa mipango yake bali allah amemteuwa
2026-07-23 12:23:22
0
jolly_girl2
jolly girl :
mtihani huu 😳😳😳😳😳
2026-07-22 18:27:22
0
nazifudrycleaner
Nazifuonegroup :
kwa sasa inafanyika kwa wanafiki
2026-07-23 09:23:15
0
nyasa506
nyasa :
Alikua anaitaka sana hii nafasi yaani hakuamini kama imekua
2026-07-23 11:01:43
0
saidisaidijuma771
Abdulrahman :
habari ya kupigian magoti sjui wameitoa wapii
2026-07-23 09:47:00
0
acnath.371
Acnath @371 :
mmh! me naona ni upendo t
2026-07-23 16:21:48
0
nurdn22
Nurdn zzf T. :
Sahih shehk
2026-07-22 09:42:48
0
To see more videos from user @naupenda.uislam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About