@asam.media.group: Nauli zapanda Zanzibar, Daladala na mabasi ya umeme shilingi 700 Nauli za usafiri wa umma barabarani Zanzibar zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 16 kufuatia mabadiliko ya nauli na bei elekezi yaliyotangazwa na Serikali, yatakayoanza kutumika rasmi Agosti 1, 2026. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Mohammed, amesema katika viwango vipya, nauli ya daladala imeongezeka kutoka shilingi 500 hadi 700, huku mabasi ya umeme yatakayoanza Agosti 1, 2026 nauli nayo itakuwa shilingi 700. Dkt Khalid amesema Wanafunzi, watu wenye ulemavu na wazee watalipa shilingi 350 na watapewa vitambulisho maalum. Dkt. Khalid amesema marekebisho hayo yamefanyika kwa kuzingatia hali ya uendeshaji wa huduma za usafiri, huku akiwataka waendeshaji wa vyombo vya usafiri kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kupunguza ajali na kuhakikisha huduma bora kwa wananchi.

Asam Media Group
Asam Media Group
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 13:39:59 GMT
21694
475
94
135

Music

Download

Comments

user8147318626340
president of torenza :
tutasumbuana kwenye chenji bora wekeni 1000 tu mupate nyie
2026-07-21 14:24:25
11
ummulayman.ali
Ummu collection❤️‍🔥 :
Wako wapi waliosherehekea mshara ulipoengezwa sema serekali mnajua kutuchezea akili😂😂😂
2026-07-21 14:39:56
11
bububu.zenji
bububu zenji :
Mauli 700 Huku 100 Na 200 Hazionekani Hatujui kwa Nini Nimepotea. Hii itapelekea Usumbufu kwa Konda na Abiria Shilingi 50 pia Haipo ,na Ukiipata ishafanya kutu kuishika unahisi tabu Wekeni nauli 1000 na 500 tu mutuondoshe Usumbufu pande zote 2 Tushazoweya Cc Raia Kila kitu tunasubiri ,Kila Mmoja Umalize muda wake wa Kuishi Asalam Alaykum
2026-07-21 14:22:41
11
rayyan.iyyan53
Rayyan Iyyan :
msij mkampandisha n mpenz wangu tu maan😂😂😂
2026-07-21 16:16:43
1
mrs.zukisa8
ZUKISA ♌️ :
Pandisheni kila kitu
2026-07-21 14:14:18
1
user8178268841439
Yahya :
Sasa unapandisha nauli kwa umbali gn zanzibar jamani hurumieni watu hem
2026-07-21 15:25:50
2
rayshkeykeyraa
rayshkeykeyraa :
ninachoon hp kwa hark kabla cjaondok hpo toilet ni nauli zimepand ili kuondoa manen kat ya gar za umem na za kawaida ili kufanya gar za umem kupata abiria lkn ndio sabab ya kupandish naul
2026-07-21 16:10:38
0
abuumuadh16
Abuumuadh16 :
mitano tena si mnatak maendeleo nyie
2026-07-21 14:06:34
3
malkia.wa.afya
malkia wa afya :
jaman nalia na sukar mm kila 5000???zanzibar hii hiikwengine 4000 kilo moja😭
2026-07-21 15:46:11
0
hepatosplenomegally
hepatosplenomegally :
darajan ad kwanyanya 700??? kwa kigezo gan na jee kila kilometer 1 sh ngaap
2026-07-21 15:08:57
0
quuenlaty
💫💞 :
mm mia tatu yangu t wanipe
2026-07-21 16:48:32
0
zawad.mwadini
Zawad Mwadini :
wanafunz itakuw bei gan
2026-07-21 15:29:13
0
user4719883687251
mmambo :
bor mueke km pba ilipokuw mia tano saiz buku hmn kusumbuwan kutft mia mia mbili
2026-07-21 14:31:29
0
midric106
midric10 :
Bora wekeni buku kabis
2026-07-21 13:54:23
3
28.6.29.9.28.10
28.6 29.9 28.10 :
Bora buku sasa kutafuta chenji itazidi kua tabu
2026-07-21 14:44:33
1
loukmansuleiman
loukmansuleiman :
Bora iwe buku chenj usumbifu
2026-07-21 14:40:04
1
ww.max.gmail.com
cybermax :
yote 9 nd muweke daina nd dalala za zanzibar😳 mungeweka coster bana hii inakuwa aibu walai😂
2026-07-21 14:13:57
0
ledy.immah
Immah 🎂 cake🦋🦋 :
sas hv nitanuwa baskel 😂😂😂mwenyew
2026-07-21 18:01:26
0
mamu.abdallah7
Mamu Abdallah :
mie natanka iwe 1000 tutapanda
2026-07-21 18:06:21
0
riziki.mohd.sisil
Riziki Moh'd Sisilo :
kwa miguu je bei gani
2026-07-21 17:44:59
0
hakimunassor
hakimunassor :
ekeni 1000 tu ili konda asiangaike chenj
2026-07-21 17:19:59
0
chama12332
cute chama❤🦋 :
zanzibar mutatuuwa jamn hee mtihan bas 😂😳😏
2026-07-21 17:57:47
0
user8272553080323
user8272553080323 :
safi
2026-07-21 14:23:18
0
To see more videos from user @asam.media.group, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About