@asadjr95: 🤲🤲🤲#Ewemola#Iwe kun fayakun#Asadjrtiktok🇹🇿 #zanzibar 🤲🤲🤲🤲

Asad Jr.(Asali)
Asad Jr.(Asali)
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 13:47:26 GMT
112395
4633
957
795

Music

Download

Comments

kuluthumuissa2
Kuluthumu Issa :
Allah Allah
2026-07-27 19:40:01
0
khamis.sheha
Khamis Sheha :
kwani wengi mnamshambulia Bella ila kwa ushahidi wa leo tuanglie mara 2 tusiangalie shehe tu mashehe wa asaiv wengi ni shehena bhana huo ni ukweli wanamatendo ya ovyo Sana ila kwa watu huonyesha wao ni wema
2026-07-21 20:03:04
19
abukhalilkhalfan
Jinn :
si sahihi bora kumwomba Allah amuongoe
2026-07-21 19:34:24
42
user7936749478350
khtb :
Mungu akubali maombi yako
2026-07-21 18:34:26
46
user8804549842041
@ machozi# :
Allah aipokee toa na dua nyengine imkolee zaidi
2026-07-22 08:44:29
17
mwana.rukwa
💓 pink :
hello mungu umesikia hiyo akojoe kasimama ameen
2026-07-21 22:03:10
12
yusufbinamisi2
yusuf bin amisi :
anae kubaliyana na dua hii like apa ❤️❤️❤️
2026-07-22 10:09:17
37
mbwana.rajab
MBWANA RAJAB :
Tunaomba Sheikh Walid arudi kwenye kiti chake
2026-07-21 20:01:13
8
user4985149991818
Mamy Chala :
Aameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeenn
2026-07-22 08:35:29
7
user11181013209423
Rahma :
vibaya kuwapiza mtu jee likirudi kwako dini haikutufundisha hivo
2026-07-21 17:20:35
5
zay123013
zay :
saf sana ajifuze
2026-07-21 20:29:57
7
user3273744186565
ashura :
Amiiiiina yarabb Amiiiìna tunashuru Saaaaaana Kwa Dua hii..
2026-07-22 04:15:59
9
user8126181971340
hajirah :
wendada.mungu.akuadhibu.hapahapa.duniani.
2026-07-23 18:39:58
1
mamuu5682
mamuu💞🥀 :
huyo mwanamke atapata la kupata Amina
2026-07-21 19:44:59
5
jumahamadhjua
Juma hamad Hjua :
Haina haja ya yote hayo Allah anatosha
2026-07-21 17:17:43
7
couple00005
bint khatib🥰🥰 :
astaqafir llah allah ataitenguw iyo duwa ishaallah ndio kakosea ila apna
2026-07-22 09:51:40
8
samweljoseph446
samwel joseph :
ime Isha hiyo Kaya timba Kwa duwa hii hachomoki Hadi waliyo nyuma yake wame yatimba🙏🙏🙏🙏
2026-07-22 07:23:12
11
user1663480077916
mum zedy :
Allah takabal dua hii
2026-07-22 03:31:03
9
user812212103324
user812212103324 :
amezidi nilimueleza we dada achana na mambo hayo akajiamini kazi kwake
2026-07-26 13:47:29
0
sweety.baby08
sweety Baby 😊❤️ :
Ameen
2026-07-22 14:52:00
0
mahyahija
hujra :
Ila unaongea manen makali san kak mungu amsamehe coz yey ni binadam
2026-07-26 06:43:51
0
user8214976259498
rosefransis :
Shekhe naye ajiteteee basi tumsikie siye tuyapime maelezo
2026-07-23 18:42:37
1
yaghnamboy
Yaghnam Boy :
Mh sio vzr km kakosea kila mja anakosea ila sio kumuangamiza M/mungu anasamehe na tunamkosea makubwa jee mwanadamu tumsameheni tuu Allah ndio atamlipa
2026-07-27 06:02:45
0
salloha_s
Salloha :
Mtume msimfanyie hivyo 😂😂😂
2026-07-25 19:31:28
0
usekigwebabaz
Becker :
kabla sijasema aamin kwanza natakujua hii ni dua ama ni shairi😂😂😂
2026-07-23 05:34:08
1
To see more videos from user @asadjr95, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About