Niseme tu ukwel kwa kumuogopa Mungu mm nampenda saana Tundu lisu
2026-07-21 21:58:22
113
Godfrey Muller :
mbona Leo roho imeuma Sana.
2026-07-21 20:42:12
96
Joshua Richard353 :
no katoa kauli ya Yesu pale msalabani msinililiemimi
2026-07-21 17:55:49
50
KING Q sir Shouk TZ:<🇹🇿 👑 :
sawaa asikaliiii wa majeshiiiii
2026-07-21 22:55:48
8
Draick Bavon :
Hiyo ndio picha nzima ya kiongozi Bora💪
2026-07-21 20:07:34
40
king laven :
2026-07-22 17:01:45
1
_MALIS🧸🤍💥 :
Umeona uyu mzee nimejifunza kitu kama umegundua licha ya kua nan au kua na chochote huwezi dumu udongo unatusubir. hkuna ataebaki Sio kiongozi wala nani.. ila kuna judge mkuu uko juu na anaona yote ivo uyu baba anajua ilo ndomn hana wasi wasi ata wa maisha yake. mollah azid kukutia nguvu❤️
2026-07-21 23:14:42
10
nillahchocolate :
Tuko pamoja Mungu atakutoa tyu naamin
2026-07-22 03:41:57
7
last born :
president 🤩
2026-07-21 20:36:36
7
lingard075 :
wange mwachia2 maisha mengine yakaendelea .
2026-07-21 20:58:33
5
LAST CHILD OF HEAVEN ON EARTH :
tabasam lake linaumiza jamani
2026-07-21 23:09:17
5
Baraka Msigala43 :
Ataishi sana tu kwa jina la Yesu mwana wa mungu alie hai