kwanini asishuhulikiwe huyu Binti mnamuacha tu anafanya anavyotaka
2026-07-21 17:32:09
23
ibrahimkhamis814 :
Mwandiko wa shekhe anaandika kiarabu huo sio muandiko wake...💯
2026-07-22 05:01:27
15
zenaalmasi545 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dada bela i love you so much 😂😂😂😂😂mwagaaaa vyote hapaaaaaa mashekhe wahovyo cn
2026-07-22 07:06:00
1
shuudaswager :
ongea haraka haraka bas tuna mamb mengi bint
2026-07-22 04:54:24
7
jaushani :
mtihani huuu ila nawahusia wandika comenti tuweni makini sanaaaa sawa mana huyu kuna viongozi wapo nyuma yake hapo nandioo mana mpaka sasa anatamba yani sawa waumini ila sisi sasa waandika hizo comenti bas ndioo twaweza kuja kutekwa dakika 10 nyingi yani aloo he 🤣🤣🤣🤣🤣 tuweni makini hapo katika uandikaji wetu eee sawa wauminiiiiiii he
2026-07-22 03:39:36
8
new life :
kwann hizo message sio zakutumiwa ni zakuzituma mwenyeo
2026-07-22 03:14:51
5
My :
kwani shehe uyuu alikutana nae wapi
2026-07-22 05:38:48
5
𝗜𝗳𝗮𝘁𝗞𝗵𝗮𝗻9♥️🇹🇿🇮🇳 :
Jmn mtazame pakuowa 🥺 eheee 🥺
2026-07-21 16:59:23
7
Mrs nuture :
kwani anataka nn nashidwa kumuelewa mbn alivyo kua nae ajatuambia
2026-07-22 04:10:20
3
Darty :
hakuna sehemu ya kutuma voice jaman ahhhhhh nataka niongeee kitu
2026-07-22 04:45:35
1
Züú4ly7ë :
mbona mufti zimekuwa nyingi sana
2026-07-21 18:42:37
2
Navigator 👮♂️ :
kwani bella anaishi wapi jamani
2026-07-21 18:20:33
1
Hanifa Hasan :
JAMNI MUFTI ALIVOCHAFILIWA KISHKI ALIMTULIZA JUMA NA MUSOMA MBONA KWA SHEKHE WALID BADO ANAMCHAFUWA NA MUFTI HASEMI NENO
2026-07-22 05:32:46
1
user03080503916 :
kwaio ina maana wamezin ndo wakampata uyo mtt mm naona sielewi
2026-07-21 15:52:27
1
fayysallyym🥰 :
ongea fasta nna haraka ujue.😅
2026-07-22 03:48:22
1
Grace :
dadaitoshe. apa. duniani tunapitq tuu. hakuna mkazi wakudumu
2026-07-21 15:12:03
5
Aldoph :
Kwahyo unataka nn tena?
2026-07-21 16:36:02
1
official mwanaid :
wakati uchunguzi unaendelea kwa nn wasimkamate wakamuweka ndani kwanza sasa cheti mbona kunawatu wanavyeti zaidi ya kimoja na kila cheti kina jina la baba tofauti
2026-07-22 05:04:08
0
Annuh :
ALLAH HUQBAR TUMUOGOPENI ALLAH
2026-07-22 03:26:18
1
fadrisa :
kuna message moja inasema umpeleke mtoto nime iona ☺️
2026-07-21 18:04:02
1
mwanasha Muhammed :
mwache afanye wakati wake swala la mda ngoja mda wa mungu atajuta kuzaliwa
2026-07-22 04:12:51
1
Mama secret snack 😋 bite :
hatutak bwana utuache
2026-07-21 16:56:27
1
Husna Tahir :
bas tena msamehe shehe wtu
2026-07-21 16:59:43
1
To see more videos from user @come.tv.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.