KAKA SIO KWA UBAYA ILA UNAUWAA SOKOO LA WATU WANAONUNUA BEI ZA JUMLA COZ IZO ZOTE UNATAJA BEI YA JUMLA
2026-07-22 07:52:33
19
Manguchief21 :
Shem wetu✅✅
2026-07-22 11:08:51
0
Bongo_Youth_Lab. :
hiyo stick ya microphone hujasema.
2026-07-23 04:54:06
0
humble girl :
iphone unauZ
2026-07-21 21:34:06
0
HATARI's son🫥 :
ps controller zipo
2026-07-22 18:59:58
0
🦋Leyla🦋delicious cakes😘🎂 :
Tag account Yao itakua poa 🔥
2026-07-22 21:32:22
0
mungure_store :
UNATUHARIBIA BIASHARA KAKA😴😪
2026-07-22 12:49:08
3
DULLAH :
kwel huyu jamaa anaharibu sana, hizo bei alatakiwa kuweka kwenye group la wateja wake wa jumla,maana bei zote ni za jumla kibaya anapondea bei za rejareja yan
2026-07-22 13:59:19
3
classy watchez tz :
Sasa nije kua winga hapo mkuuu 😂
2026-07-22 08:00:09
3
Am salmah ♍️📿❤️🔥 :
Naomba watag Hilo duka
2026-07-22 12:09:36
1
Kamanda wa noma 1/lono kmokmk. :
Bei lejaleja ni ngapi
2026-07-22 12:50:46
1
CHUGA_25_STORE_MWANZA👊 :
hamtag jina la duka,
2026-07-21 20:52:05
1
#godgiftpaul.🇹🇿tiktok :
mwanza scheme gani kaka
2026-07-23 09:31:36
0
missvanny4ever :
charge ni ya simu gan
2026-07-21 21:52:18
0
willy wilson :
no ya whatsp boss
2026-07-22 15:30:36
0
Star Bonny Tz1🇹🇿🤣🤣🤣🤣 :
vifaa vya simu bei ya jumla pia mnauza
2026-07-22 05:08:27
1
ms.nipher27♌️ :
Wapi nije kaka
2026-07-22 11:37:57
0
ANNAGREY CLASSIC WEAR :
Nataka hiyo stand ya 40000 nipo nyegezi
2026-07-22 15:08:04
0
mau-king G :
unaharibu soko kaka.... hizo ni bei za jumla sio rejereja
2026-07-22 15:13:43
1
marleekylian brown :
nakuja na police😅
2026-07-22 03:52:57
1
Marry Malosha :
kaka nakuja kuchukua
2026-07-21 14:23:42
2
Adolf.me :
iyo selfie stick ya elf 4 nilipigwa elf 60dodomA ila ni mwaka juzi 😁🤣
2026-07-22 09:49:11
2
Cherry🍒 :
Ring light ndogo bei gani nahitaji
2026-07-21 20:16:50
2
mwanaish ..luxe handmade🧶 :
mwanza sehemu gn upo
2026-07-22 10:11:15
2
Manguchief21 :
shem wetu✅✅✅
2026-07-22 11:08:26
0
To see more videos from user @mr_mooh_, please go to the Tikwm
homepage.