@uniforce_energies: Ukikutana na kazi ambayo haijafanywa kwa usahihi, kazi yako ya kwanza ni kurekebisha. Kama mteja akikuuliza always usimchome aliyeifanya! kwa namna yeyote force kusema kwamba sio mbaya lakini kuna room for improvement that's where you are in a picture. Usiongee maneno mengi sana, wewe sema kuna room for improvement, of which inaanisha, kila kitu kina room for improvement. be your brothers keeper hata pale ambapo unaona kabisa hakufanya vizuri. Ukiwa mtu wa maneno mengi kumchoma mwenzako, it's not safe! wewe fanya improvement Alafu mteja ataamua mwenyewe kama aliyeifanya mwanzo alipatia au alizingua. Always let your work speak for you linapokuja swala la ubora, mdomo utumie kunegotiate ulipwe vizuri na sio kuchamba umbea. that's our take kwenye hili and I stand to be corrected kama kuna namna bora ya kudeal na issue kama hii ili usiwe snitch? Please write us kwenye comment hapo tutashukuru sana.