@jmtv_tz: Mwandishi na mchambuzi wa Habari za michezo kutoka Wasafi fm Edo kumwembe na Mzee wa kaliua @oscaroscarjr 📽 CC @wasafifm #mpwagejulius #JMTV #mpwagedigital

JMTV
JMTV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 15:38:49 GMT
150438
7173
294
662

Music

Download

Comments

pialambosso
pianambosso :
🤣🤣 Kuna mwingine Kila team ikicheza Anakwambia Mbona simwoni mbappe🤣🤣🙌
2026-07-22 05:36:41
243
newchapter203
nonchalant ✨🎶 :
Nina ushahidi wa kutosha nilipata shida sana kuelezea 😂😂😂😂😂😂
2026-07-22 08:17:15
104
shilwene93
shilwene93 :
Mwingine alisema kwann wasiwape mipira hata mitatu wasiwe wanakimbizana na mpira mmoja
2026-07-22 04:44:54
41
ankonzala803
SURE BOY :
juzi ana dem anasem et kumbe mess ana goal kumi .namuuliza kwanini anasema si kaandikwa mgongoni magoal yake
2026-07-22 01:05:30
71
praise1703
Praise17 :
Mmoja aliuliza yanga wao wanacheza lini mbona siwaoni🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-22 02:01:02
35
saidimpako
Mr. jerusalem :
niliulizwa Kwani Tanzania haijaenda huko 🤣🤣
2026-07-22 00:04:41
41
laurentsojo
lau mela :
Oscar ata mm
2026-07-22 16:05:21
0
nicholaus.grace
Nicholaus Grace :
huyo ni Mimi kabisa nilimuuliza Mr ikitokea refaree amefunga goli itakuwaje 😂😂😂😂
2026-07-21 21:25:12
56
nasraabdallah89
Nasra Abdallah :
tena uyo dada angu anakwambia kwaiyo yanga atuchezi kombe la dunia 😂😂😂
2026-07-22 16:04:57
4
a6dully
Dully :
Nilizima Tv nilivyoulizwa Real Mardid hawajafuzu 🙌
2026-07-22 07:08:09
16
veronica.mzuma
Veronica mzuma :
Mimi nimwanamke ila unidanganyi k2 kwenye mpira😂😂😂😂
2026-07-22 03:27:10
17
sophiehaji28
sophiehaji28 :
Me nilipata shida kuelewa offside ila now naelewa nabishana mpk na mr😂
2026-07-22 08:43:43
10
jenny26042
jenny26 :
mbona Simba na yanga awachezi kombe la dunia🤣🤣
2026-07-22 08:59:33
10
tuzomnene
Maisol mtumba store👚👗👖 :
Sio mimi labda😂 nakupangia mpk kikosi cha cardiff city na sub zake😂😂😂
2026-07-21 21:43:34
15
rey.j66
rey j :
mbona wachezaji wengi mpira mmoja??😅😅😅😅
2026-07-22 07:05:46
10
lee.meckson
Lee meckson :
mtu anakwambia angalia kimya kimya usiniulize chochote😂😂😂 bora umeisha tu
2026-07-21 20:45:53
23
rebecca_albinus5
Rebecca Albinus. :
hivi wanawake wenzangu mnaangaliaga niji mpira kama hamjui?😂 mtu hajui hata sheria walau hata 5 ila yumo, aisee ukijua mpira ni raha, najua mpira kuliko ninavyo jua maisha yangu, naenjoy kuangali hata nikiwa mwenyewe sichoki, match zote zilizochezwa usiku niliziona had sa 8 niko macho, mpira raha ila unatia hasira kuliko za mapenzi😂
2026-07-22 07:49:55
8
zaituni23_
zaituni :
kuna mimi apa najua messi, Leonard tu na sjui wanacheza timu gani half kwenye stori za mpira na mimi nimo😂😂😂😂
2026-07-22 06:30:33
6
josephmunga75
mungajr :
mimi niliulizwa kwenye fainal "mbona zinacheza Team mbili tu wengine wako wapi.
2026-07-22 08:42:20
5
rachaelmwita118
Rachael :
mim nilimuuliza kwann yanga na Simba awapo kwenye final akanambia mahali yangu itakuwa njiwa jamn
2026-07-22 15:55:36
0
cledoh_
cledoh :
mm ngoja niwatumie screenshot amuwezi kuniamini😂
2026-07-22 07:11:55
2
irene122006
Irene🪬 :
Mimi saivi nashukuru najua vingi kiasi ila mwanzo mechi inaisha tumenuniana au ananifukuza nikalale 💔maswali mengi
2026-07-22 10:19:02
2
rhoda.rocha
Rhoda Rocha :
kwenye kombe la dunia ndio nimejua baadhi ya wachezaji aki ya mama😂😂 maana kila anae cheza vizur nauliza huyo n nan sasa kila mech kama hayupo olise siangali
2026-07-22 10:46:10
1
malisa___01
malisa🦋 :
🤣🤣😂😂 Mim ndo nishaambiwa niachane na mpira kabisa maana mmh 🙌
2026-07-22 07:24:32
3
2014dori
Odo Ester :
kila wakicheza namuuliza anashabikia nchi gani na mimi hukohuko😂😂😂😂
2026-07-22 07:11:33
5
To see more videos from user @jmtv_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About