@peter.desire0: Dereva so mchoyo kabisa😂😂#fyp #viral #trending

Peter Desire 🌎✨(😎)
Peter Desire 🌎✨(😎)
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 16:04:32 GMT
961533
54325
1349
219

Music

Download

Comments

gladie02
gee🤍😍 :
mume wangu nilimkuta barabaranii anashangiliaa ivo gar ilii apigiwe honiii ...aisee nilimpita kama simjui
2026-07-22 12:44:25
1149
aysherboss3
⭐🌹Miss mimah❤💫 :
Dereva sasa baad ya kuona anashangiliwa😂😂😂
2026-07-23 07:09:19
330
tcqulate
Tcqulate :
nani niwe status viewer wake😅😅
2026-07-22 23:08:59
73
momobeauty03
M.R.S Frank OG🤭 :
mama:mwanangu unafanya kazi gani mjini mtoto:mama nashangilia taa na oni za gari
2026-07-28 19:36:48
159
siaelly930793
siaelly de princess :
sijui kwa nini nimejikuta nina furaha 🥰🥰
2026-07-22 07:39:44
345
sitymussa7
REY :
hata mimi nimeskia raha jamani dereva nmekupendaa🥰😂😂
2026-07-23 08:46:12
147
janethjoseph53
Jennie 🦋 :
ila wanaume
2026-07-27 06:44:01
16
haps451
Appy :
Naomba kuuliza kwani mnapata hela jamani na mimi nianze kurecod barabarani?😳
2026-07-23 09:59:18
27
aminaofficial8
🌺 Amina official🧕🌺🌺 :
ata me nimefurahi sana ana respect Sana 😂😂💪💪 allah amrinde huyo dereva Sana Sana
2026-07-22 07:31:44
39
user7310955656518
last born :
Una pata faida gani kaka hapo
2026-07-30 12:21:50
7
kenny.kendrick7
Kenny Kendrick :
mung ambaliki nayeye amilik lakwake kwamoyo alionao
2026-07-29 07:13:27
30
annalucas82
annalucas82 :
Ba mtu naona upo ofisini ukishnglia honi😂
2026-07-23 14:18:59
15
rhoda.mabula.mathi
Rhoda mabula :
mungu nisaidie kijana wangu asiwe bwege🥰
2026-07-30 08:39:35
6
nonso.cute0
NONSO CUTE🎀🫧 :
Jamani msiende fesibuku hii wiki wanasafishiana picha 😂😂😂😂
2026-08-06 08:05:01
7
little.liner6
little liner💕❤️💁 :
Huyo Dereva aishi maisha malefactors🫡✊
2026-07-23 05:08:55
8
marylynnemirenja
Lynne 🥰 Mary🥰 :
wenzangu kujeni uku hii ni ushamba ya hali ya juu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 07:55:24
7
lizznaiyah.og
l!zznaiyah 💙g+ :
😂😂jmn mpka nmecheka najiulza ni ww kwel au nakufananisha🙌🤣
2026-07-28 15:07:27
6
prettygoldfx1
prettyXAUUSD💕💸🇹🇿 :
Embu nileteee maji mm toka uko barabaran
2026-07-22 10:54:55
18
aziza.japhary5
Azizah🙃 :
Yani hamuwezi amini ndugu zangu watanzania wenzang wapendwa zangu Mimi nmejikuta tu Yan gafra naangalia zaidi ya mara10😁
2026-07-25 21:32:00
6
sabrasaheem
🍏 Ashley mumy🍏 :
Nilikuwa nipo kwenye hii gari nikashangaa watu wanapiga kelele nikajua kamkanyaga mtu kumbe ulikuwa wewe na wenzio ila daaah na kesho tena
2026-07-27 08:07:46
5
www.officialxuxher
🦋nixher🦋❤ :
kwaiy wakiwash taa nd inakuwaj mm sielewag🤣🤣🤣mnijibu
2026-07-21 20:56:48
90
nasra.cuty1
nana cute❤️ :
ila challenge 😂😂😂😂😂
2026-07-22 07:15:03
11
To see more videos from user @peter.desire0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About