Yani mimi nimemuacha mke. Mahakama inanambia bado inatambua hiyo ndoa? Au mke kadai talaka yake kwa sababu za msingi labda mwanaume anamtesa anampiga hamjali hamuhudumii nyie mahakama mnasema hapana iyo ndoa ipo ata kama una talaka? Hayo mambo watu mpaka kifo kiwatenganishe wanauana kwenye ndoa ni huko kanisani bi mkubwa. Uislam tayari unajitosheleza!
2026-07-24 12:20:52
5
Riser Tours & Safaris Zanzibar :
ila ndoa haikufungwa mahakamani
2026-07-24 04:42:13
24
massoud :
ndoa ni fungamano la kiimani sio la kiserikali
2026-07-24 15:37:34
1
hassan kuchi :
Mimi nafuata Sheria ya dini yangu sio mahakama
2026-07-24 17:39:50
1
Money hunter 💸💵🤑 :
Unataka kusema ndoa ya kiislamu haitambuliki kisheria? Ni mpaka isajiliwe mahakamani? Kama ndoa inatambulika kwann talaka isitambulike?
2026-07-24 12:22:59
2
mahrez adnan :
masuala ya dini musiyaingilie jamani
2026-07-24 08:46:32
3
beingkiyeyeu :
Cheti cha ndoa ni Mali ya serikali jamani na mahakama ndo serikali yenyew hyo 😫Naona wengi mnasemaooh mlivyofunga ndoa hamkwenda mahakamani,,kwanza vibali vyote vya kufungisha ndoa vinapatikana serikalini ,alafu shekhe au mchungaji anapewa kitabu chenye vyeti vya ndoa ,vile Sasa ndo mnakuwa mnagaiwa ,,anyway nahisi darasa ni muhimu sana
2026-07-24 10:38:31
2
DMF :
sasa kwann wakat wa ndoa za kiislam mahakama haihusiki ? ila kwenye talaka za kiislam mahakama ihusike ??
2026-07-24 11:04:08
2
Alhikma bin Nassor :
Sasa kubwa hapo ni dini au ni sheria za kidunia
2026-07-24 13:04:34
1
Diana Fashion💞 :
umependaza ila ujapasi vizuri 😳😳😳🥰🥰🥰
2026-07-22 05:41:13
6
MO NDALO :
naomba kuuliza swali
Sasa mbona ndoa imefungwa kislm na hatuend tena Mahakamani kupata chet cha ndoa baada ya kufunga ndoa ya kidini
2026-07-24 12:35:12
0
user2237785281433 :
mahkama wao ndo nani
2026-07-24 14:42:15
0
zuu.official4 :
Kivip na ndoa haikufungwa mahakamani?
2026-07-24 08:35:57
0
Neyney :
kabla hujaniponza huko mahakamani ni bure au nikifika kuna pesa itahitajika😳😳 maan siku hizi hayo majalada ni pesa mihuri ni mingi na pia ni pesa
2026-07-24 12:53:37
2
Mr sule :
I understand coz shida inakuja ukitaka kuolewa tena you have to find satafiket ya serekali
2026-07-24 12:33:59
0
tulipvailet :
mtajua wenyew
2026-07-24 08:09:46
0
nill :
huo ni mtizamo wako sio sheria ya dini ya kiislamu inavyoagiza,
2026-07-24 03:40:00
0
GINIMBI :
mbona wakati naoa sikwenda mahakamani
2026-07-24 07:38:06
0
Medy Alpha :
Kwanini ndoa iliofungwa kwa taratibu za kiislamu inakubalika kisheria kama ndoa halali, lakini linapokuja swala la kuvunja kwa taratibu hizo hizo ambazo ndoa hiyo ilifungwa isikubalike kisheria kama ndoa imevunjika?
I DON'T UNDERSTAND HERE! EBU NIELEWESHWE VIZURI.
2026-07-24 08:43:20
0
Roshaphia💕 :
Kwanini inapaswa kwenda tena mahakamani baada ya kuwa tayari umepewa talaka? Ikiwa ndoa iyo ilifungwa msikitini na taratibu za talaka zilifatwa kwa dini
2026-07-24 05:56:48
0
Britain gold :
kama ndo hivyo basi sioi
2026-07-24 09:04:00
3
Makusanya :
Ni Moja ya mazingira ya kuingiza changamoto zngne hatarishi
2026-07-24 08:48:26
2
zubeirzubeir291 :
Suali ni Jee Ndoa Itahesabiwa kua Imekamilika Kufungwa bila Kusajiliwa Mahakamani?!.
Ikiwa ni sawa basi hata Kuvunjika inaweza bila kupita Mahakamani.
2026-07-24 08:00:49
1
To see more videos from user @msbippaofficial, please go to the Tikwm
homepage.