Shekhe inaruhusiwa kuswali uku ukisoma dua kwa sauti na pia inaruhusiwa kulitaja jila la mwenyezimungu lolote lile kati ya Majina yake 99 lolo lile je inastahili kulitaja chooni?
2026-07-22 11:50:12
0
mwa234 :
shukran
2026-08-04 10:40:22
0
Salma chihonde :
shukrani ostadh
2026-07-21 16:18:09
2
Abdallah Saphania :
Nice one
2026-07-22 10:01:48
0
nuxham wayne :
Othtadh naomba kukuliza kitu katika swala zima la kujitwaharisha wanasema hutakiwi kukata kucha au kunyoa nywele zozote au kufumua nywele kwamba zitakatika na wengine husema ukiwa hujafanya hvoo kwamba kucha ndefuu huwezii kutwaharika ni ipii sahihi ya hayaaa?
2026-07-21 16:22:10
1
BazilioAchimoAbudol Achimo Abu :
Aslam alaekum warahmatullah wabarakatu mm swali langu umepanga safar baada ya swala ya alfajiri unatoka na wewe mwenyewe unajuwa unakoenda utafika baada ya maghribi au isha je inafa kusubiria saa 1 au saa 2 ukaunganisha dhuhr na asr
2026-07-26 18:15:49
0
dragon 🐉 :
ALHAMDUDILLAH
2026-08-03 18:21:01
0
najma_shabani :
shukran jazakallah khery 🙏🙏🙏
2026-08-01 13:29:57
0
zamzam :
takbir
2026-07-22 18:26:41
0
lamadhan chogo :
asante kk
2026-07-21 16:14:06
1
arjum 98 :
asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh nina swali kwa mfano mtu anaswali jamaa msikitini swala ya dhuhri au asr ambazo hazisomwi kwa sauti lakini imamu anasoma haraka haraka yaan al fatha anakuwa ameshaimaliza anaenda kwenye rukuu nawe bado hujamaliza kusoma je swala yako inakuwa imebatilika na pia kwa mfano umechelewa rakaa moja katika swala ukaswali na imamu na hadi anatoa salamu ukajisahau ukatoa salamu kisha ukakumbuka ukaswali rakaa uliochelewa na ukatoa sijdatu sahw je hii ni sawa
2026-07-22 14:42:30
0
naadully :
asnte
2026-07-22 12:05:34
0
Mariam Salim :
INSHAA AALLAH
2026-07-22 07:16:25
0
keifi love 🇹🇿to 🇴🇲 :
Asante at leo nimekoxea wakt naxwal subhanaallh 🙏🥹
2026-07-26 11:41:42
0
ashnourah :
shukraanh sanaaaaaaaaaaaa
2026-07-21 18:48:12
1
zenaaaaa🥰🥰 :
shukurani
2026-07-28 20:38:09
0
kinakirefu Ray's :
na vipi ukimkuta imaam amerukuu na wew huwezi kupata nafas ya kusoma surat al fatih kwa maana ukilazimisha kusoma utapitwa na rakaa