YAA ALLAH TUJALIA TUIONE HAKKI NA UTUJALIA TUIFATE AAMEEN🤲🤲
2026-07-22 11:02:10
2
moon :
uzushi ni kuongeza au kupunguza katika QURAN NA SUNNA.Kwa mfano sala asubuhi rakaa 2, sisi tuseme tusali rakaa 3 ili tupate thawabu zaidi hii ndo itakuwa uzushi sio tulioamrishwa.lakini pia kuna hasanaat ambayo ni mambo mengi ya kheri muhim haina dhambi.
2026-07-22 09:29:36
2
@faah :
uzur mmoja wa da'awah salafiyyah Haina Kona Kona Wala janja janja
2026-07-22 16:43:34
3
Shindikian :
ALLAH AWAONGOZE WAISLAMU WOTE KATIKA NJIA YA HAQQI
na 👌 tuache ubishi tuzid kufatilia kipi ni haqqi kipi ni batwil na tujiepushe na kila yenye kutupelekea kuingia katika BID'AA
tubadilike na tuache kufata tunayo ona wakifanya wengine bila kujua kama ndivyo yatupaswa kufanya kisheria 💯👌
2026-07-22 13:02:46
3
Hakeem bin Hizam :
بدعة حسنة من خير الأعمال وافضل الأعمال في الاسلام.😁
2026-07-22 07:52:34
1
Abu naufal :
subhaanallah...mmefikia hapa masufi
2026-07-22 20:05:14
0
Fetty fg :
Sasa hii halal or Haram mbona Mimi sielewi
2026-07-22 18:57:12
0
Mohammady Sangod :
mashallah
2026-07-22 17:58:13
0
ka :
Subhana Allah
2026-07-22 14:09:55
0
musa sheyza :
subhanallah huu ni mtihano
2026-07-22 17:37:08
0
rehmaally1 :
Subhana Allah
2026-07-22 10:01:07
0
Nuraty Ally :
انا لله وانا اليه راجعون
2026-07-22 14:43:24
1
Salum king don :
subehannallah
2026-07-22 08:16:00
0
Mr kim :
acheni dada zetu wavheze kama kunahadithi inayowakataza kuchezea dufu tupatieni
2026-07-22 13:20:25
0
Scorpio786 :
2026-07-22 10:21:50
0
JAFARI.ISLM.1 :
😌😌😌😌
2026-07-22 07:16:14
0
سعيد بن أبي بكر بن سعيد :
إنا لله وإنا إليه راجعون 🤲
2026-07-22 19:02:17
0
🫵HUZAYL__🌺-❤️__JR🥀🌹 :
subhanaallah
2026-07-22 07:45:24
0
Athmani :
Matwari kwa wanawake pekee Imeruhusiwa
2026-07-22 18:53:23
0
albarbahaari :
Hakuna haja ya kuweka wanwake wanacheza ili kufikisha ujumbe
2026-07-21 17:34:07
1
user76732086815301 :
munapata madhambi mnaona nisifa
2026-07-22 04:53:52
0
To see more videos from user @mukhtaar_ahmad, please go to the Tikwm
homepage.