warid nakuomba kataa mtego huo shekhe wangu mungu amekuchagua tunaendelea kukupenda waachie uongozi wao
2026-07-22 06:52:14
2
user79051109709373 :
Kurudi sio rahis na wakimrejesha nitaamini kabisa km tanganyika hakuna mashehe
2026-07-21 20:54:31
2
A.shakur.perfume.001 :
mbona tume aikuundwa before sai ndo mnataka kuunda tume 😂😂😂😂
2026-07-22 06:55:27
1
sadasalum :
shekhe walidi usirudi watakuja kukudhuru baba haowatu hawakuunda time mwanzo Sasa hivi wanahuzunika ndio wanaunda tume Kwa aibu iliowakuta
2026-07-21 21:17:41
2
Riffat Win :
arudi tuuu japo chuki zitakuwepo.Allah atakulinda Nguvu ya Allah itamtete🤲
2026-07-22 06:18:55
1
SHAFIYU :
mbona hamkufanya hivyo mwanzo mm ni mkenya lakun mulifanya makosa
2026-07-22 02:07:57
3
Cute nazzy :
mlikulupuka wanetu sasa tumeghail sheikh walid alinde heshma yake kurud hpo tena sio kweli
2026-07-21 21:29:38
1
@ :
Hivi hii bakwata niwazima kweli?
mmemuachisha kazi alafu bila uchunguzi..sahiz ndio mnataka kumchunguza
2026-07-22 04:29:40
2
ASHA EVANCE :
warid kataa waachie uongozi wao sisi tunakuelewa ww tu
2026-07-22 06:53:36
4
Milu_spare :
X harudiwi bora sheikh atulie tu
2026-07-21 18:20:07
3
zai🌸🥰 :
Nikikosa bando huwa naumwa unaweza jua nakaribia kata roho Allah wajalie afya njema wabongo na mambo yao yasiyoeleweka yaongezeke ujuzi ili waendelee niburudisha amina
2026-07-21 23:01:12
1
Kwetu pa Zuri :
Kwanini msingeunda hiyo tume kabla ya kiwatengua kama kweli mlikuwa na nia njema?