@pokomo_vibes: Sikiliza maneno ya Sheikh Mziwanda kuhusu BAKWATA mwaka mmoja kabla hata Sheikh Walid hajatimuliwa katika nafasi yake. Sheikh Mziwanda amewakashifu viongozi wenye tabia ya kufitinisha wenzao . Tukiunganisha na tukio la hivi majuzi lililo mtokea sheikh Walid ndio utapata picha kamili. Tatizo halikua mambo ya mke...ni sababu tu ilikua inatafutwa. #pokomovibes #creatorsearchinsights

𝐏𝐎𝐊𝐎𝐌𝐎 𝐕𝐈𝐁𝐄𝐒 🇰🇪
𝐏𝐎𝐊𝐎𝐌𝐎 𝐕𝐈𝐁𝐄𝐒 🇰🇪
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 21 July 2026 16:31:37 GMT
3695
194
10
14

Music

Download

Comments

do.i.do
Do.i.Do :
Sasa jeshi la mtu muja umeoges shukran ustad
2026-07-22 07:23:31
2
naah_308
Nadia Ally :
Ilikua raha sana daaa naona wivu kwann sikuepo 🤣🤣🤣tina tu ili iwe nn
2026-07-25 20:50:10
1
nadhra77
umm nadhra yahya :
SubhanaAllaah Uislam umekua wa moto sana
2026-07-22 15:49:13
1
mrlonly171
UNTOUCHABLE17_ :
Hakika🙏
2026-07-22 15:03:04
1
zainabyasini4
ZAINAB YASINI :
mtihani tu naona. maana viongozi wapo lakini atuoni
2026-07-23 08:53:21
1
lalida.marcos
Lalida Marcos :
KUULIZA TUU, KWANI BAKWATA SIO KITENGO CHA SEREKALI? NAONA NII KIKUNDI CHA KISLAMU? WEEEE POLENI WATANZANIA
2026-07-22 06:19:32
1
zubedamussa71
zubeda :
takbiriiiiiii
2026-07-24 10:28:24
1
preity.rani5
preity Rani :
💯💯💯
2026-07-21 18:16:31
1
To see more videos from user @pokomo_vibes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About