hta TikTok ukipost zinapungua kbx quality mm nina 6a
2026-07-24 15:13:55
1
🌸Lily🌸🇰🇪 :
me naomba unionyeshe setting ya dual camera
2026-07-24 15:26:30
0
Mevlan_tz :
Thanks l
2026-07-24 10:51:42
0
Aman Ullah – Unstoppable 🦅⚡ :
pixel 7a cinematic video setting please
2026-07-24 10:05:13
0
vanny d :
mjomba Nina pixel 6 pro Niki follow back inagoma na kuwafoll watu inagoma piaa
2026-07-24 17:41:48
0
Mozee🤦🤪 :
Nina pixel 7 plan mwanzoni nilkuwa na2mia lait ya tigo bt sahivi haitak lain ya tigo ukiwek inawek imegenc ila nikiweka lain tofaut na tigo inakubali je shida nn?
2026-07-24 16:59:48
1
james umeme Tz :
videya ai
2026-07-25 08:36:30
0
lomi~bless og🎀 :
simu za google pixel unaweza kutumia mala mbili ndani ya simu moja ila mm nashindwa kutumia mawasiliano kwenye simu yangu
2026-07-25 06:57:25
0
fine girl🧜♀️🧚♀️ :
pixel yang inaish chaj na nimewash setting za betri saver
2026-07-24 13:52:10
0
MR.KHAN😍😋 :
mm nisaidie jins ya kuweka paswed kwenye upande wa message 6a
2026-07-25 01:32:13
0
Ahmet Ramadhan :
mie nna 7a kuna mafail yanaonekana mda wote jmn had kwa picha yanakuwa kama background kwa mbali yanaboa
2026-07-24 20:33:52
0
Mr boyflan :
mkuu Mimi nna pixel 7a nikilock sim siitaji iweze kuwasha data au kufanya chchote bla kutoa lock🙏
2026-07-24 20:14:52
0
ruthwemaemmanuely :
ni pixel 6a inaniletea hiyo notification apo na network inapotea cm hazitoki Wala kuingia
2026-07-24 17:11:29
0
Kevoo John :
daah kweli bhna nimeona mabadiliko kwenye cm yangu
2026-07-24 18:23:53
1
junio yohana :
naomba nisaidie me Nina gug 7 kavu sijajuwa nimeifanyeje SM yangu napigiwa afu haipatikani
2026-07-24 15:52:43
1
estridaa :
jinsi ya kuset msg zisifunguke juu ya screen lkn mlio wa msg kuingia nisikie kweny pixel 7
2026-07-24 12:17:56
0
Jaguar :
Mimi pixel 4a nikiiweka kwenye sauti kubwa mutu ambye minaongeya naye anasema hasikiyi kitu
2026-07-24 17:05:01
0
@Nyandu Tozzy 2006💙💥🎒 :
Mimi naomba unisadie google pixel 4a kwa nin ikikaa wiki Moja inalistat yenyew 2
2026-07-24 16:41:35
0
ÑYÂÑG'ÃÛ ☠️ :
mbona sioni iyo HD quality kwenye in box yangu🥺
2026-07-25 05:48:22
0
❤️🇳🇬 MWANA🔱🔱CHAUSIK🧲🔱❎❎ :
🙏🙏🙏
2026-07-24 16:21:58
0
yassa khan 26🔥 :
🔥🔥🔥😏
2026-07-24 10:45:38
0
𝐎𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥_𝐬𝐮𝐡𝐲𝐞🔥 :
💯💯💯
2026-07-25 06:33:05
0
To see more videos from user @simueasy, please go to the Tikwm
homepage.