@paza_sauti_media: Msanii Click Master amemshukuru Mungu kwa kuendelea kumuinua kupitia Muziki wake akielezea historia yake kwa ufupi, kwamba alisota na viatu kwa muda mrefu kisha Baiskeli na sasa amenunua gari na kupata uhakika wa kupitia sheli. Hajaishia hapo, amepiga goti na kuwaombea wote wenye malengo na ndoto kubwa, Mungu awafanikishie akisihi yakwamba hakuna linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu #PazaSautiMedia #SautiYaJamii

Paza Sauti
Paza Sauti
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 17:47:56 GMT
195816
20892
498
107

Music

Download

Comments

aminamayele300
😜mayele daughter ❤️❤️ :
yote kwa yote mungu akupe hitaj la moyo wako
2026-07-21 17:50:46
241
johnbest9471
JBEST 🦅 :
Waaaooowww
2026-07-23 19:03:23
0
shabran158
shabran_158 :
kutoka kwenye baiskel hata wiki mwezi haujapita, leo unamiliki gar... tutakufuatilia
2026-07-22 09:57:12
101
amina.nelson1
mom ✨ :
bd click 2
2026-07-24 08:21:04
0
user6840967277749
PRINCE JOSEPH 🙏🙏 :
amen brother
2026-07-24 18:59:48
0
jeuxx254
JEUXX :
wow,,congratulations
2026-07-23 13:26:37
0
janeth.jf8
Janeth Jf :
amennnnnn
2026-07-23 07:26:38
0
jeshi_marwa
umusimbete :
mbn nyie mnawah kufanikiwa hivyo kwan nyie mnafanyaje
2026-07-22 04:54:29
40
frankmdach
Frank Mdach :
USIWATUPE WANAO SASA GARI NDOGO SANA HIYO USIWAACHE WANAO
2026-07-22 04:30:43
27
wa.town4
wa town :
Mona nyimbo zko azisikik
2026-07-22 06:16:14
9
paulo.sichari8
Paulo kiboko yawooh :
nakupa mdogo wangu 🙏
2026-07-22 03:58:35
5
mraviator60
MR AVIATOR :
KAMA UNAFATILIA VIZURI WAKATI WA USAFIRI WA VIATU NA BAISKEL ALIKUWA PEKEAKE LAKINI KWENYE GARI WAKO WENGI DUH KWELI NIMEAMINI WATU WANAKUPENDA WAKATI WA RAHA
2026-07-23 05:11:48
2
old_newtestament2
SAUTI YA MAWINGUNI :
Kwanini anamshukuru sana Mungu katika kila neno asemalo? ni kwasababu alimwamini sana Mungu katika yote aliyokuwa akipitia na si hayo tu kwakuwa ni mema bali hata kwa changamoto nzito alizopitia bado aliendelea kumshukuru Mungu, hakika Mungu aliye mbinguni ni mwema kila wakati,barikiwa sana kwako wewe unayemwamini Mungu kwakila jambo, usiwe mtu wa laumu
2026-07-22 05:59:13
19
ndulelee
Said no :
hiyo gari kaka angu sio nzuri endapo ikiaza kuzingua
2026-07-22 10:47:19
8
www.pongoboy.com
Domi mdogo wetu :
MBONA ULISEMA UNATAKA MAGARI MAKUBWA LISIWE LA CHINI NI HII VIPI
2026-07-22 14:16:18
5
cesiliahappy
mtoto msitaarabu 🙏🙏🙏🚶‍♀️ :
Amina 🙏 nilivokua naona unalika nikadhani umeachwa🤣🤣
2026-07-22 12:37:04
7
timo.vena6
timo vena :
kaka mimi bado nipo na ww kukusapoti mafanikio Yako ww yananifanya niongeze juudi nami nipate mafanikio💪💙🩷
2026-07-22 13:03:10
3
lubidaconstruction
lubida builder⚒️ ✅ :
amen
2026-07-22 10:31:41
2
sebastianmaroda
Camera Quotes :
najua sio kama ulishindwa kuanzia na gari,,,iyo inakuwa rahisi ukipoteza ukirudi Kwa baiskel jamii haikupi presha ,,big up
2026-07-22 02:33:41
11
tidee_82
Alistides Sylvester Kakembwe. :
safii kak
2026-07-22 15:24:21
3
zenajela0
zenajela :
yaan niko najichek hap kunawatu wanajua magar wanamwambia hiyo gar sio kitu alaf kuna mm sasa najua gari n gari ok bhan pongez yako kaka angu
2026-07-22 10:53:59
6
trinity9768
Trinity :
sema anajua kushukuru🙏🏾🙏🏾
2026-07-22 06:47:21
4
jaruu90
jaruu :
kumbe life ni rahisi Ivi. ok sawa tutaelewana tu
2026-07-22 14:03:21
3
user7188043594172
Direct 45 :
amen mungu anitendee na mm
2026-07-22 20:07:48
2
user81804819377532
FIRST BORN :
Tufanye kazi jaman .Hongera Click Master
2026-07-22 12:03:32
5
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About