@doctor_tangi:

Doctor Tangi 🏥🩺💉
Doctor Tangi 🏥🩺💉
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 18:34:32 GMT
20402
642
26
66

Music

Download

Comments

taho1000_
TAHO Media Group (TMG) :
mbona unamshika mtu bila kuvaa glove? au hujui unuhimu wake?
2026-07-22 03:49:31
2
09dec0
ujamaa :
vipi kuhusu miguu kuvimba?
2026-07-23 21:59:48
0
bashiruj5518881797595
bashiru 5518881797595 :
doctor vp kwem unapatikana wapi
2026-07-22 11:26:12
0
noahmwandosya549
noahmwandosya549 :
nimekumbuka hiyo stiki daaah mungu akubariki dr.Tange uliniponya mpaka sasa natembea kama sikupata ajali
2026-07-24 21:16:37
0
clever.calm
Calm boe :
mze3 dislocation inatokea mara kwa mara nifanyaje nipone
2026-07-24 21:09:28
0
komwe71
komwe :
nyi nanyi kila mtu docta
2026-07-23 21:58:22
0
hafidhi.saidi
》fizik¤20Kille@ :
unachokisema aujadanganya ukweli mtu nami nimevunjika apo apo namguu wangu upo ivyo ivyo kuongopa labda mda wakupona tu ila ssa dkt mtu kashapata ajali labda ya boda anakuamaututi kaumia seemu nyingi ivi wanaokusaidia wanawezaje kumleta kwako watu si watawashangaa imekaaje iyo binafsi mi nakuamini sana tu nanilitamani kuja kwako ila nilishindwa
2026-07-23 11:19:45
0
user1870118600759
nabil :
bila ivoo sinyanyuki asubuhi
2026-07-23 12:22:41
0
ramadhanirashid356
Rama :
hivi mi nilipata crake kwenye goti so natembea vzr tu ila Kuna wakati nahisi maumivu flani hivi je inawezekana kutibu hizo crake maana ni ndogo sana hata kuziona ila nahisi maumivu japo sio muda wote
2026-07-22 18:14:22
0
saidi.hamidu7
Saidi Hamidu :
allah akuweke baba mungu akupe maisha marefuuu🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-07-22 17:39:40
0
hghhvfhhb
@4 :
Kuna ndg yang alivunjika UTI wa mgongo vp anaweza kupona kweli maana alienda hospital ikashndikana
2026-07-21 20:47:09
0
muznemuzne157
Muzne Muzne :
nikwelikaka kaziyako nzuri
2026-07-22 08:20:51
0
canabayastambuli
Canabaya Stambuli :
nashukuru sana DR TANGI umenipatiba kwenye huu mguu na nimepona
2026-07-22 04:44:26
0
demuheza
Esther2023 :
Hongera kaka angu kaz yako nzur
2026-07-21 18:59:20
0
user1870118600759
nabil :
Mimi sijawahi kuvunjika ila nasumbuliwa na mgongo chini saa nyengine nafanya ganzi na nikifanya kazi ya nguvu mga wa kulala nimeze dawa za maumivu bil
2026-07-23 12:21:46
0
user1870118600759
nabil :
mimi nakukubali
2026-07-23 12:17:31
0
user1870118600759
nabil :
sijawahi kwenda hata hospitali
2026-07-23 12:23:38
0
alfarashirdikovic
Dikovic master :
me Niko na ndgu yangu katibiwa na hao hai hakupona kaenda hospital kufanya uosleshen ana endelea vzur suwaraman tena nyie watu
2026-07-22 08:12:52
1
user8199968793500
user8199968793500 :
Naiyamini hiyo tibayako mana wazee wazamani hawakuvijua kabisa mambo yakutiwa vyuma nawalikua wanatibiwa kama unavosema,Yani tiba nyingi za hospitali ni asilimia 50 kutibu na zaasili ni asilimia 80
2026-07-23 04:41:21
0
isyamaba
islam yahya :
watu wamesahau tiba za asili, zamani ilikua hakuna operation, unaungwa bila kupasuliwa na unafaulu.. turudi Kwa tiba asili
2026-07-22 04:11:38
0
user3735399426110
chuwa :
utafugiwa
2026-07-23 10:38:08
0
To see more videos from user @doctor_tangi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About