viongozi wa Mombasa kazi ni kuleta waimbaji kutoka Tanzania na kukata viuno na hakuna maendeleo yoyote wanafanyia wananchi.tuchague viongozi wapya ruto amewanunua wote sai hawawezi kuongea ruto anauwa control sai
2026-07-22 09:53:05
3
free wave :
silali leo silali bas nyimbo enyewe
2026-07-22 18:19:07
1
Fredrick Msanzu :
2026-07-22 13:38:07
1
omar :
tamaa bin tamaa pwani imekwishaa
2026-07-22 20:21:31
2
Musa A.K.A :
bro umesema ukweli
2026-07-22 17:42:33
2
£ddy0030️⃣0️⃣3️⃣🆒️🇰🇪 :
😂😂😂😂yes
2026-07-22 10:56:04
1
Fatma-89 :
Hakusikii
2026-07-21 23:04:46
2
user7183162420969 :
🤣🤣🤣🤣Kunywa Soda kwa Bill yangu umesema ukweli na hawapendi tujue ukweli
2026-07-22 16:16:03
2
leez don :
Leo umenena kaka
2026-07-22 19:18:24
1
SAM MAUA💪 :
wape kaka
2026-07-22 12:59:25
2
user3887796004881 :
kweli
2026-07-22 12:41:07
1
Marinero 76 :
ukweli mtupu
2026-07-21 22:15:10
1
ambassador kavish🙏🙏 :
safi kaka
2026-07-23 02:47:14
1
Airbnb :
huku hatuna viongozi ni brokers
2026-07-22 13:59:01
1
Swaleh Abdalla :
kweli kabisa bwana
2026-07-23 14:45:27
0
m/brian003 :
asante bitwa twaonewa kila kona
2026-07-22 18:37:43
1
Ram N Romeo :
usiwatambulishe kama viongozi ama waheshimiwa. wote hao wapo hapo kwa maslahi yao. na hawana muaamko wapwani.
lakini hakuna kuwanyamazia .wasipewe amani. wa binafsi
2026-07-23 13:16:47
0
on target :
hiyo plantation badala kufanywe maendeleo ama hizo ardhi zirudishiwe wenyeji wauziwa matajiri
2026-07-23 03:37:47
1
Fredrick Msanzu :
Santa bitwaa vipingo ishakwenda na wageni.kwishaa chetu hatuna
2026-07-22 13:40:33
3
Omarow :
kwanini nusu kwa nusu?kitu chako waweza kukigawanya na mtu?
2026-07-23 04:28:03
1
Abdallah Hassan :
wambile wasikile baba.....hawana maaana
2026-07-22 11:33:53
0
To see more videos from user @bithwa_003, please go to the Tikwm
homepage.