@nyebowsa_media: Huzuni iliyoje kwa Mwanamuziki Meja Kunta Mwaka 2024 alimpoteza Meneja wake Dida Shaibu, Mwaka 2025 akapoteza Mama yake Mzazi leo 2026 anampoteza Baba yake Mzazi Hakika viatu vyake ni vikubwa sana kwa yeyote Pole kwa ndugu jamaa na Marafiki #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #mejakunga #singelitotheworld🌏

Nyebowsa_Media
Nyebowsa_Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 20:30:01 GMT
210800
18312
1018
94

Music

Download

Comments

esha.haji
Esha Haji :
yan huyu kama mimi sina baba sina mama sina babu wala bibi wala shangaz nimebaki na mungu tu dar
2026-07-22 04:16:58
332
__tiffah1
Ms Tiffah 💛 :
Huna chochote Lakn Una mungu
2026-07-22 03:37:41
293
ladeen_23
Ladeen_23 :
kam uwelew anachopitia meja utaon kawaida ila ikukute kwenye maixha ukiwa una mtu wa kukutegemea inaumiza xana pole sana MEJA KUNTA
2026-07-21 20:43:44
166
user1886867192790
pilly Hosea :
Pole san
2026-07-23 12:43:05
0
zubedasulfat
Farha Abdul :
Mungu Akupe mke Atakaekupenda kweli, atakaekuzalia watoto wema
2026-07-23 13:32:59
7
dogobad6969
🌴DOGO🍁BAD~OG🌴 :
pole san blood 😒😭😭
2026-07-22 16:34:52
1
priscaseffu
Priscaap :
pole san
2026-07-22 10:33:38
0
usercoolest_kid
Top mAn Style Empire :
GOD BE WITH U😭🙏
2026-07-22 06:19:21
2
aggy0880
Aggy% :
anaficha maumivu ndani ya tabasamu ila apo moyo unavuja machoz ya damu,,,pole sana Mungu yupo upande wako
2026-07-22 04:56:53
49
esterkessy403
esterkessy403 :
ww kama mm ila omba Mungu upate watoto ndio ndugu zako
2026-07-22 05:11:28
37
officialjeje49
It's me Official ❤️ :
shabiki zako tupo pamoja wala usijali tunakupendaaa🥰
2026-07-21 22:42:36
46
ramadanronny460
J🔟Ramaa= :
Pole sana meja kunta
2026-07-22 04:33:48
3
loymim4
Loy :
Pole bro
2026-07-22 12:31:42
2
bruzal
bruzal :
Tabasam lako limeficha maumivu makubwa sn kaka,pole sn kaka,mmungu atakupa subra
2026-07-22 07:57:01
14
linnahsaimon2020
linnahsaimon :
hunachochote ila Mungu yupo pamoja nawe Mungu hatakushika mkono hata kuhacha
2026-07-22 05:04:26
11
alfa_moga
Alfa_moga :
Pole sanaa Meja😭
2026-07-23 07:45:10
1
momp.og
moomp$mdmj :
dah Asante Mungu ambao wapo karibia wote jmn mko wapi
2026-07-22 12:29:42
2
happinessdickson6
~Happipie~🦋🥰🤎 :
Nimejaribu kuvaa viatu vyako💔 vina misumari, vyuma, moto havivaliki😭😭🫂
2026-07-21 21:00:49
5
paskopaulo770
Pasko Paulo :
pole sana mungu akutie nguvu inauma lakina hamna namna 🥺🥺
2026-07-21 21:23:29
5
user4317926051905
Esther_664 :
mweeeeeh poleeee sana kunta Mungu akupunguzie maumivu poleee sana daaah
2026-07-22 10:45:19
2
user3475245824261
nancybaby :
pole sn kaka mm nimebakiwa na mama mungu amlide mama yangu😭😭😭😭
2026-07-22 08:06:51
2
mamyt16
mamyt_collection :
mungu akupe nguvu kipind hichi kigumu kijana wangu
2026-07-22 05:08:34
2
williamkiduku
William Kiduku :
duh pole sana kaka😭😭
2026-07-22 05:39:49
2
officiallishersmom
[email protected] :
Sio lapekeako hata Mm sina Mama ,Sina Baba , Sina Babu japokua Bb yupo ila namuhesab pia sina kwasbb sion kama anamapenzi na sisi kwahy kwakifup pia Bibi sina 😭😭😭
2026-07-23 10:09:22
2
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About