@angel_beauty24: Replying to @ms lucy mzungu

Angel beauty saloon
Angel beauty saloon
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 21:22:42 GMT
437231
13252
546
905

Music

Download

Comments

user96661925970631
bby naah :
hyo nywele inaitwa marefu yasiyo na ncha
2026-07-23 06:53:05
269
neemaneemamasanja
💕💕💕 :
Mmmmmmh hapn
2026-07-26 18:32:36
0
sabrener.nzoter
Sabrener @goldengirl :
Hasira zangu haziniruhusu kabisa kuendelea kuangalia hii video
2026-07-23 15:09:13
129
nashvilleville03
nasmamtangi720 :
hii siunaanika nguo kabisa 🤣🤣🤣🤣 ila sisi wa dada 2nakaz
2026-07-22 06:22:59
196
user1763626856552
korosso :
mteja mfalme😅
2026-07-22 06:19:15
145
user26515086728805
sniper :
an nmejkuta nmekasrika
2026-07-22 08:20:04
119
nassor_al.ferouz
vintage :
rapunzel of Tanzania
2026-07-22 12:01:57
1
joharynoor
Johary noor🎀 :
tunao sema nihii moja kwajili ya post tujuane
2026-07-23 01:28:21
51
gerine7777
troble shouter :
jmn kaah
2026-07-22 07:01:34
12
janecute908
mom jay²🥰❤️‍🔥💦 :
😂😂😂bado mm nko njian nakuja natak zaid ya huyo🤣
2026-07-22 07:49:55
31
dorothydeodatu
Dorothy :
nakumuacha
2026-07-22 05:24:01
41
apenda.mnyone
Apenda Mnyone :
yalishanikuta hayo nasukia nje ya saloon mteja yupo ndani jmn jmn wateja mmm
2026-07-22 03:19:55
28
shakirakatoto
Shakirah Katotoh 🎀🦋 :
Au ni mke mwenzio😅😅
2026-07-22 06:57:51
6
mcmfaume
mc mfaume :
msukeni nywele kwanzia dar mpk mwanza
2026-07-24 15:32:13
8
lucy.mg22
Lucy Mg :
pesa naitaka lakin kwa hii hapan
2026-07-22 11:57:02
17
anastazia63628
🔮Nice babee25💞💦🎀 :
akiamungu wallah
2026-07-24 17:59:38
5
deborahjuma3
Deborah juma :
ndy hao wanaokufa kwenye pikipiki na kuwapa kesi ya kujibu boda boda za watu ikiingia hiyo kwenye tair ya pikipiki inakuwaje hapo?🤔🤔🤔
2026-07-22 13:15:37
19
mwajumasalim226
mwajuma :
Mimi nilimfumua mteja nywele zote nikamuambia aondoke
2026-07-22 12:20:14
9
emmy.yahaya84
Mina 🥰😘 :
Kwa hizi hasira zangu me nisinge weza 😂😂😂
2026-07-22 21:56:41
8
lil_dyke
@ Lil_dyke :
hv huyu c regina??
2026-07-22 05:53:50
6
happyfania00
happyfania00 :
kama huyu anayesema zinalipa hela angenipa bilioni moja
2026-07-22 04:28:25
12
shilolekaliwima1
shilolekaliwima80 :
Kuna dada alisuka ndefu,,then akapanda boda kwenda kwenye shuhuli,,huwez amin nywele iliingia kweny ring ya pikpik wakaanguka dada akafa palepale,,,ná wakat anasukwa tulishangaa wote kwa urefu wa nywele hyo
2026-07-22 10:04:06
8
flaviana.emanuel5
Flavy Emmanuel :
hata kama nipesa nàpata siwezi
2026-07-22 07:45:56
6
khabiba821
khabiba :
jmn
2026-07-22 11:31:46
1
anjelinajustine23
Anjelina Justine :
hadi nimecheka ka kichaa mteja akadhani jamcheka duh!🤣🤣
2026-07-27 09:28:04
2
To see more videos from user @angel_beauty24, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About