@pilot.076:

kigera finest 🫂
kigera finest 🫂
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 21:59:52 GMT
84385
4380
201
98

Music

Download

Comments

user52361665007001111
mug :
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡 TRUE BRO
2026-07-24 16:29:30
0
jxmn53
jxmn :
Mshukuru mungu wew umefanikiwa kuipata me nimeshia tu kuitaman
2026-07-22 13:30:37
43
user1477639504832
mariam🥷🇹🇿🇹🇿 :
mwanzoni nilikuwa nikimulaum mpenzi wangu kwakuniambya yupo bsy nikawaa nazani yupo na wanawake ilaa siku nilivyo anzaa kukaa naye ndo kajionea mwenyewe mambo ikabidi nimuombe msamahaa kwa kuto mwamini
2026-07-22 14:48:13
17
fatmaahmadi807
fetylove :
Niachie mimi🙏
2026-07-23 19:53:47
2
kenny.tz09
Kenny tz :
Fam🔥 paoja maiki🫡🫡
2026-07-23 05:41:25
1
davidpaul1735
David klein :
pole kamanda
2026-07-23 05:09:12
1
ben81783
ben :
Sio ngumu pambana kjana
2026-07-23 06:28:10
1
mary.lyimo8
Mary Lyimo :
mashemeji ballerti nyekundu nawapenda sana🥰
2026-07-22 12:42:06
6
caraherman1
Gloriah :
Red ballet🔥bila kuchoka
2026-07-23 13:05:35
0
cuty.gress
REBEKA GERARD :
Basi kamawewe umechoka niachie mimi😏
2026-07-23 16:38:08
0
sarajuma96
sarajuma96 :
mambo umeoa
2026-07-23 03:17:57
0
eugee2314
kp23 :
fam
2026-07-22 13:36:09
0
ezenails113
Eze Nails :
fny kz mungu ndio anajuwa
2026-07-24 02:28:43
0
nyamweri.werema
nyamweri werema :
tukaze buti bila kuchoka
2026-07-22 11:30:05
0
user86788749522443
Tamary :
mabby zangu Nawapenda sana🥰🥰
2026-07-23 12:45:57
0
jansan.lain
GÖLD LÏÑË 💃 FÄSHÏØÑ 💃🎁💃 :
mungu awasimamie sana asikari wetu awape nguvu busara
2026-07-22 15:26:51
0
glory.manka.munuo4
Glory Manka Munuo :
familia..
2026-07-22 13:30:40
0
user9544706142885
Cute mere❤️ :
honger sana kijana wengne hawana hata hio kaz🥺🥺
2026-07-23 04:56:57
0
kasanzu15
sasha :
kweli
2026-07-22 12:40:01
1
user87310394165170
ester :
hahaha pole
2026-07-22 15:56:06
0
naomi.maganigani
princess G :
me napenda jamn
2026-07-22 18:05:36
2
gsmile432
Gloria😍 :
naomba lift😂
2026-07-22 15:32:07
0
user184567955500
Sonny :
juzi askali kanikamata na lubajaji lwangu kanipa mikeka 6 af ananambia kaz yake ngumu asa me na kibajaji changu io elfu60 ajui ndo kipato changu nlilichotafuta siku nzima ukiigawa unaambulia 8000 mfano25000 boss mafuta 23000 af askali mnasema kazi ngumu duuh kwel kua uyaone 🤨🤨
2026-07-22 10:08:35
2
user9629315382062
mama g :
pamban bila kuchoka 😊😊
2026-07-22 11:10:44
1
officialvalentina2
DadaVale🤍💦 :
nawapenda sana,na ninawaombea sana kwa Mungu kwaajili ya Taifa letu🥺🇹🇿
2026-07-22 17:20:05
4
To see more videos from user @pilot.076, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About