ndo maana sitawahi enda gulf,naogopa kwenda mbali na familia yangu
2026-07-22 09:33:02
2062
Nelly ♥️💕🧡Naimu :
i feel that pain take heart 😭😭😭
2026-08-01 14:42:53
0
njoki♥️ :
another day to cry with a stranger 😭💔
2026-08-01 12:06:54
0
miss traveler 🌍 :
I know the feeling the worse part it will never be same 😭😭😭
2026-08-01 14:30:27
0
ßĥìĺæĥ :
only 8mnths nikiwa gulf my son akapass na my daughter akakua hospitalised for weeks,I thank God boss aliniachilia nikuje mazishi but kufika huku nmeogopa kurudi kuacha my gal tena kwanza ako na liver issues,am really broken kwanza nikikumbuka niliongea na yy iyo mchana kumbe usiku anazifiwa ady kufa kwake😭😭😭😭
2026-07-22 14:05:44
282
Sir John :
hugs 🫂🫂🫂
2026-07-31 04:54:39
0
lindah :
i have leaved since i was in class 3 without parents upto now I'm 22 ....ata sina la kusema 😭😭😭
2026-07-22 09:46:56
120
fay🇧🇭 :
Ni wewe unatrend pale Facebook 😳😳😳😳
2026-08-01 17:01:04
0
HON REUBEN KAMAU (kamwana) :
hakuna kitu huniuma kama kuishi bila wazazi😭😭😭
2026-07-22 06:05:14
500
🦋Maria kasmall ❤❤❤ :
that was me last year on 22 August nlitoka gulf nkapata kumbe mum alipass na akazikwa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-25 04:52:41
12
Godwin Müdäkī :
mi babangu alikufa 2001 imagine adi amezeekea kwa kaburi😁
2026-07-22 09:53:49
39
Mrs Alex♥️ nyakundi ♥️ :
hugs dear🫂🫂🫂. same situation meeting my father's grave😭🥹
2026-07-22 11:11:50
13
Ahmed :
Looking for a woman for marriage
2026-07-24 08:37:51
5
sharon :
naogopa kuenda gulf juu familia yangu siwezi kaa mahali sitaenda anytime kuwaona
2026-07-23 07:27:43
7
🦋Dee🦋 :
my mum alikufa 2009 sina ata picha 😭
2026-07-22 16:49:56
9
fay feiyu :
hii nayo amwezi elewa🥲🥲nilienda saudi nikapoteza my only bro na tulikuanga tu wawili plus no parens
2026-07-22 17:47:42
8
Selina🦋🥵 :
ndio maana siendi mbali na mama wangu😳what if niende kumbe siku yake ilikuwa imefika😔
2026-07-23 09:45:48
11
🌱♌️DREAMCHASER 🦋📊🫧 :
this will be me next year😭🥺
2026-07-22 18:32:40
10
Nonso Diobi :
Nimeona wengine wakisema " ndio maana siwezi enda gulf", so ukiwa na yeye karibu siku yake ikifika hawezi kufa juu uko na yeye ama?
2026-07-22 12:10:51
21
Sebastian :
Why are you recording
2026-07-22 16:56:29
56
📌🦋MAYA💙IMANI👑💫 :
I'm even scared to go back to Kenya coz hii ndio naenda kupata
2026-07-22 07:03:17
54
annita :
watoi walikua nanani aki ?
2026-07-22 09:19:30
402
To see more videos from user @humble.girl1901, please go to the Tikwm
homepage.