Hawaa ndio mashekhee wallahy mimi nikisikiza mawaidha kwa mashekh wengine huwa sielewi wanaongea nini? ilaa hawa 2 yananiingia na kuelewa haswa...mashekh wengine mtanisamehe sijaongea kwa ubaya
2026-07-22 12:52:40
26
Hasante Mungu :
Maishallwa
2026-07-22 16:42:52
0
usermom :
Hakika Quran haijaacha kitu.
2026-07-22 08:11:40
23
Ummu Saad :
Allah awahifadh mashekh wetu
2026-07-22 14:13:31
10
Castro mhanje :
vyuma hivi vimeshiba imani na havitangazi ubaya kamwe vinahubiri maneno ya kheir tupu.
2026-07-22 11:58:01
15
odo :
leo mmeniwekea mashekhe wangu ninao wapenda sana 🥰🥰🥰🥰🥰
Hivi Bakwata waliisahau Surat Al-Hujurāt? Mbona imeeleza kila kitu. Niwakumbushe tu Aya ya 6 inasema kwamba mtu fasiki akileta habari, zinapaswa kuchunguzwa kwanza ili kuepuka kuwadhuru watu bila haki.
2026-07-22 09:25:37
17
mwajuma3980332742516 :
walidi tunamtaka
2026-07-22 14:31:10
1
feyruz :
Muhammad swallah llahu alaihi wasalam
2026-07-22 12:07:37
2
12 :
S.A.W
2026-07-22 09:56:32
1
idamaa :
Mashallah 👌
2026-07-22 14:39:14
1
aminashabani :
Allah akuhifadhini mashekhe wangu nawapenda kwa ajili ya Allah
2026-07-22 10:59:45
3
Khamis Omar :
Allah akuzaidishiye afya njema inshaallah vipenzi vyetu
2026-07-22 14:12:35
1
shamsajuma :
nakupenda mno Allah akuhifadhi amin
2026-07-22 10:15:49
2
mwasikitoko :
amiin
2026-07-22 09:58:24
1
mariamu :
allah.akbar😥😥🙏🤲🤲🤲
2026-07-22 11:00:44
1
Bakari Saguti :
Ahsan☝️
2026-07-22 10:10:01
1
AJUMA 077 :
JAZAKALLAU KHERI
2026-07-22 09:57:40
1
mister counsellor :
mashallah
2026-07-22 08:44:58
1
user306959797416 :
kweli ukifanyiwa ubaya ushukuru mungu mkubwa wewe sema alhamdulilah
2026-07-22 17:31:07
0
hijahusen@22 :
athuman maalimu na shekhe walid nawakubali sana mafundisho yao allah awape janat Firdausi
2026-07-22 17:50:36
0
iddy :
allah awapeni subr ishaallah
2026-07-22 18:01:01
0
sam :
🙏masha Allah
2026-07-22 17:43:46
0
nathy💖 :
Takbiir
2026-07-22 17:56:30
0
To see more videos from user @mawaidha.islam, please go to the Tikwm
homepage.