@ecsahc_youthnetwo: Experts Behind the Care. 👨🏽⚕️👩🏽⚕️ Meet the dedicated doctors making a difference at the ECSA-HC Medical Surgical Camp. Bringing together expertise, compassion, and a shared commitment to quality healthcare, they are providing life-changing medical and surgical services to those who need them most. Today, we proudly introduce the experts behind the care. #ECSAHC #MedicalSurgicalCamp #HealthcareForAll #SurgicalCare #MedicalMission QualityHealthcare
Ndugu Mgeni Rasmi na sisi tunaosoma comments ndio wagonjwa wenyew tunaoumwa…Asante 🙏🏽
2026-07-22 15:45:29
186
DR HERRY NA UZAZ|+255742449224 :
nilipona kavaa beg tu nikajua huyu daktari wa upasuaji😁
2026-07-22 14:21:30
77
S__yummy🌹🦋 :
i wish one day to introduce myself like that
2026-07-22 14:03:21
25
Kaystore’s Kaystore’sMotor’s :
Hapa ndo najuta kusoma ualimu
2026-07-22 14:58:59
34
N@n@_255 :
mpka useme bingwa jmn
2026-07-22 17:45:46
6
Nollie🦋 🧿 :
Mimi naitwa Dr…. mimi naitwa nolly ni Dr wa……. jina then cheo
2026-07-22 16:33:53
25
Laura Rock :
Naitwa mgonjwa laura…natoka arusha napenda kuzaa kila mwaka ndio ugonjwa wangu mgeni rasmii
2026-07-22 20:30:41
15
_vaktov :
nmekutana na madaktari bingwa kadhaa( psychiatrist,gynaecologist,physician,urologist,radiologist,surgeons)kama sehem ya kujifunza kipindi hicho nasoma, wengi waliniambia kama wangeweza kumrudisha siku nyuma wasingesoma masomo ya afya sababu kubwa ni maslahi Yao hayaendani na uhalisia wa ugumu wamaisha,gharama walizotumia kusoma,muda walipoteza shuleni,mazingira ya KAZI..kiufupi kama una ndoto ya kusoma masomo hayo jiandae kuwa masikini mtiifu.
2026-07-23 14:50:05
5
candy_kingo🤎🤎 :
Dr Linda Paul
2026-07-22 15:12:15
5
Mwananchi wa Kawaida🇹🇿 :
Siku moja niliona mtu wa mafunzo ya itifaki Bw. Kashera anaelekeza namna ya kujitambulisha kumbe hatutakiwi kutaja cheo mwanzoni kabla ya jina. Mimi naitwa Moses Mussa sio mimi naitwa Dr. Moses Mussa maana Dr. sio jina lako😂😂
2026-07-22 14:51:24
10
Godfrey Romanus :
wanavo jitambulisha sasa kama hawaringii wagonjwa
2026-07-23 04:33:27
8
vailethpopitolo :
Mimi naitwa Dr Vai daktari bingwa wa magonjwa ya mimea
2026-07-22 17:11:37
14
vickybrand_ :
Ndugu mgeni rasmi mimi ni mama wa docta bingwa mtarajiwa EDWIN MREMA kwa sasa yupo fm six asante 🤝🤝❤️📌
2026-07-22 21:37:38
8
Ms Bee🌹 :
Simjui ila anaonekana kazi yake smart hutubiwi twice
2026-07-23 08:00:13
6
Pendo 36 :
Ongereni sana mungu awatunze maana iyo kazi ningumu sana
2026-07-28 13:12:24
2
𝐌𝐑_ 𝐒𝐈𝐌𝐎𝐍 𝟐𝟓𝟔 :
nimemwona rafik angu Dr Ngiana, nafurah kukuona, from MMRH 😁
2026-07-22 13:09:45
5
whitemnyama :
wachaga wengi
2026-07-22 16:12:05
5
Broka Discount Center :
Me nimeacha kuwa dr nauza Tv🤣😂
2026-07-24 20:23:56
1
Mr.Casha66😍 :
protocal ya utambulisho haipo hivyo.
unapaswa useme"
Ndugu mgeni rasmi kwa majina naitwa Ezekiel makia ni daktar Bingwa wa hvi na hvi."
sio kwa majina naitwa Daktari Haule aaahhh no no no
2026-07-25 06:16:55
2
DR_NDORITI_Alex :
Ndugu msoma comment wewe n daktali bingwa wa nini vile🤣🤣
2026-07-23 12:36:16
3
Dr dentine :
daktari mkunga??
2026-07-22 21:54:22
0
Dr michael. :
Naitwa Michael John ni daktari wa....✅️na sio Naitwa Dr Michael John ni Dr wa...❌️
2026-07-23 12:41:44
3
Patrickanord :
ndugu mgeni rasmi mimi clinical officer 😂
2026-07-23 11:39:04
2
user5961350943797 :
mountvmeru madactar ni weng ila ukifik uwaon jmn
2026-07-23 04:35:43
0
To see more videos from user @ecsahc_youthnetwo, please go to the Tikwm
homepage.