tunataka shekh walid agombee urais kabixa aongoze nchi kbx😂😂😂
2026-07-22 09:17:40
69
haithamdayan :
na huy ndo binadam wa kwanz mim kumuon akisifiwa na mema yake kusemwa akiwa hai mashaallah mw/mung amjaarie umri mref zaid shekhe warid
2026-07-22 09:32:31
99
Sarah mussa :
ta ta ta ta ta taqbree,
2026-07-22 20:47:10
12
wa mwembe :
takbriii
2026-07-22 06:24:11
31
شمهروش ملك من ملوك الجن :
Sheikh walid yule n walii wa Allah
2026-07-22 07:40:36
38
Mwamini salumu :
jamni watanzania wakikupenda hutajutia shida zote wanakusaidia kubeba 😆
2026-07-22 12:31:23
16
sweetnoory :
hata wakristo wana hikima wamejua haki, jmn hata maadui wenyewe wameshangaa😂😂😂
2026-07-22 15:17:11
14
likambaho :
mimi mwenyewe mkristo walidi kaonewa nimtuwa watu huyo
2026-07-22 09:38:04
25
Mama Boss 🧑🍼🥀 :
Takbriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......... 🥰🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
2026-07-22 18:39:56
9
ossah :
NAOMBA KUSEMA MIMI NI MKRISTO ILA KILA NAPOFATILIA MAWAIZA YA SHEIKH WALID KUNA VITU VINGI NAJIFUNZA NA NINATAMANI SIKU MOJA NIONANE NAE NINA VITU NAIMANI ANAEZA AKANIFUNDISHA MUNGU KAMJALIA HEKIMA SANA NA ANAJUA KUFUNDISHA MUNGU AMBARIKI SANA KOKOTE ALIKO 🙏🙏
2026-07-24 10:00:06
5
ngamwembe :
kama yusuf alivyo tupwa na na ndugu zake kwenye kisima wlijua wamemaliza kumbe ndiokwanzaa picha linaanza
2026-07-22 08:27:01
13
Bint harthiya :
SubhanAllah hakuna Kama mtu kukaa kimya Allah ana kulipia majibu bila kuchelewa Alhamdulillah
2026-07-22 10:39:27
15
babdely :
Hii ndo inaitwa ukimtegemea Allah huanguki hata ukianguka haudhaliliki
2026-07-23 05:14:57
10
🎀Roselynstore_tz🎀 :
Aibu wataonaa wao walivyodhani itakuwa haikuwaa naa huo ndio ukubwaa Allah maashaallah
2026-07-22 14:20:02
8
Tatu Mzee :
uyo shehe wa east africa
2026-07-22 16:44:56
6
mom g :
amina sana hata wakristo tupo pamoja na shehe Walid l
2026-07-22 07:52:48
9
khadijasaid :
TAKBIR
2026-07-22 14:49:03
10
Rosemary :
Takbir Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah,,, SHEKHE WALID ndiyo Shekhe ninayemjua mimi💓💓💓💓💓
2026-07-22 09:59:05
5
Hadija Mbikitu :
uko sahihi Sana shehe wetu Allah akulinde inshaallah 🙏
2026-07-22 09:09:20
6
user5237270507377 :
AMIN hawajui kua wanamkana mungu bila kujijua, mim nimkristo pyua mungu aliekua kwa warid nimkubwa sana, tumuogope mungu
2026-07-22 07:35:45
5
✨swal💕hat🥰 og :
takbiiiiiiiir
2026-07-24 14:27:53
1
user7319126820929 :
Mi mwenyewe namutafuta sheh walid nimupe yangu ya moyon nampenda sana
2026-07-22 10:36:46
1
masala02 :
Hadi Kenya tunampenda
2026-07-22 20:33:24
2
Rahma Masoud :
Subha all
2026-07-22 14:56:58
2
MDIVILA JR :
umexem kweliiiiiii mung akulipeeee
2026-07-22 18:34:53
4
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm
homepage.