@jehmeeleh: Assalam alaykum guyss.. Leo tupike mbuzi ya foil🍖Mahitaji nimetumia nyama ya mbuzi kilo 4 nimetenga pamoja na - garlic paste @thehomemade_foodproducts -Limao -chumvi Ikishakaukia maji ya kwanza utazima moto. Na uanze kuandaa sos ya foil sasa Utachkua Ukwaju kiasi , Greenpaste, soya sos, chumvi, Meat masala, garam masala, paprika ,blackpaper pamoja na mafuta kiasi . Utachanganya na ukamix kwenye nyama uikaangie kidogo. Uifunge kwenye foil na ubake kwa saa 1 na nusu mpaka masaa mawili😍😍 #meat #meatlover #viral