@jehmeeleh: Assalam alaykum guyss😍Haya tunaendelea na mapishi yetu😍Ramadhan hii wote tule vizuri inshaAllah🩷 Leo tupike Vilosa (vitumbua vya bnb) Mahitaji- unga wa ngano 2 cups Maziwa ya unga 1 cup Mayai 2 Sukari 1 tbspoon Chumvi 1/2 teaspoon Hamira 1 tbspoon Baking powder 1 teaspoon Vanilla kidogo & Hiliki Maji vikombe 2 na nusu angalia uzito usiwe mzito sana wala mwepesi. Uzito uwe kama katika video hapo😍 Ukiwa na pan ndogo zaidi inakuwa vizuri zaidi. Hatua nyingine zote fatisha katika video🩷 Shukraaan🩷