Hivi nimeskia peke yangu uwanja wa mpira stadium au😁😁
2026-07-22 20:23:26
21
newforce_enterprises :
Si Lazima Ufike Dar Kwa Kuiangalia Juu , Unaweza Kufika Dar Kutokea Mbeya Kwa Kuiangalia Pembeni Utaanza Mlandizi , Kongowe , Kibaha , Kibamba , Mbezi Ukiwa Na Sisi 😂
2026-07-22 22:21:45
9
Matt O'Brien :
mji mdgo sana huu
2026-07-22 18:43:11
7
ytarah_Tz :
et watu hawaoni ndege ipo chini sana au😅😅 sa si tufanye nini tuifukuze au😅🔥🙌
2026-07-23 08:20:35
3
ALLY SAIDI MPANGALA :
Paanzishwe route ya ndege Kariakoo to Gongo la mboto naona mmetumia dakika 3 tu kutoka posta kutua airport😅😅😅😅😅
Speed ya ndege si mchezo😂😂
2026-07-23 16:15:05
2
BAFANAog :
bwana wee s nimejiona kule chn nlkuwa natembea
2026-07-22 19:58:27
2
user2709834083008 :
Kaza mkanda iyoooo .....kazaa mkaaaanda😁 hongera sana
2026-07-23 13:31:45
2
Jacob :
kwenye magorofa yote hayo mm Sina hata nyumba Wala kiwanja 😊
2026-07-22 21:15:07
2
Baraka Polela :
ipo siku tapanda na mimi
2026-07-23 09:43:33
1
🦋 :
Hamtaki kushuka wenetu, mbona kila mda ee ee ndege ipo chini, simmefika inatua au, mnataka mtue juu!😳😂
2026-07-23 14:56:22
1
Kilima jr :
et ipo chini uwanjani bado hv unajua speed ya ndege kutoka bandarini imetumia dakika tatu mpaka kutua
2026-07-23 04:22:54
1
zahed10 :
dar ya wapi😂
2026-07-23 06:27:46
1
TZ🇹🇿 :
ukiwa juu Dar imechokaa😁😁😁
2026-07-23 10:51:47
1
echomike_15 :
The landing wasn’t that smooth
2026-07-22 20:56:11
1
pinho :
Dar ya juu sio kama ya chini😂😂
2026-07-22 20:25:36
1
zookey :
usingekaa kwenye bawa view ingekuwa nzuri zaidi
2026-07-22 18:31:01
1
Chooper the famer :
form one
2026-07-23 15:20:29
0
𝐉 𝐄 𝐅 𝐅 🔱👑🏆 :
Very smooth landing
2026-07-23 13:44:07
0
Canstar :
kaza Mkandaaaaa😂😂😂 duh kumbe ina shuka kama nazi🤣🤣🤣
2026-07-23 14:07:28
0
Stuttgart :
Ivenchually 3/4 ya dar ni slams
2026-07-23 18:12:25
0
Jay Fouad Bakary :
et kaza mkanda aahhh .... kama anko T
2026-07-23 12:59:32
0
Kulthoum Kaita :
nyumbani kwetu nimepaona
2026-07-23 12:50:07
0
sheby :
this is a big city in tz
2026-07-23 17:54:03
0
Leocardia🇹🇿 "" "🇾🇪🇾🇪 :
November ifike mapema jmn
2026-07-23 18:11:34
0
To see more videos from user @mrfocus345, please go to the Tikwm
homepage.