ALAFU WATOTO WA KITANZANIA HAWANA MADAWATI INAUMA SANA JAMAN CCM IONDOKETU LISU AJE ATUOKOE AMINA
2026-07-22 20:22:49
1
AGO :
hayyati KILIMANJARO HOTEL POSTA ulifika kupona napo??
2026-07-22 10:18:35
0
underson chitukula :
lami vipi
2026-07-22 15:31:05
0
Paul Tours Safari :
Uko sahihi. Hizo ni baadhi ya hoteli tunazouza kwa wageni wetu wa luxury safari.
Ndani ya Singita Grumeti kuna lodges tatu maarufu: Singita Sasakwa Lodge, Singita Faru Faru Lodge, na Singita Sabora Tented Camp. Bei ya chumba cha kawaida huanzia takribani USD 3,000 kwa mtu kwa usiku.
Pia kuna private villas na exclusive-use houses kwa familia au makundi madogo, kama Singita Milele, Singita Serengeti House, na Singita Kilima. Hizi hugharimu takribani USD 35,000 kwa usiku kwa nyumba nzima (inayoweza kuchukua hadi watu 5), huku villa za kifahari zikifika hadi USD 19,000 kwa usiku.
Hii ndiyo tunayoiita true VIP luxury safari experience.
2026-07-22 22:12:02
2
NYOTAQUEST SAFARIS :
Tunajua zotee izo
2026-07-23 10:33:38
0
Johnson boss :
🥰🥰 nihatari
2026-07-22 18:39:25
0
lela :
hapo kwetu kabisa🔥
2026-07-23 10:23:23
0
patrick_mindfullness :
nililala bure😂
2026-07-23 07:05:13
0
Justine Magina🇹🇿 :
Gurumet singita hiyo ni no1 hapa kwetu ila mtu hawezi kuelewa maana yupo mwanza dar Arusha
2026-07-23 00:23:28
0
mwita francis :
Iko Nata Serengeti hiyo
2026-07-22 18:50:29
0
Mr wildlife :
bado mkuu sogea mbele mbele kuna zaidi ya iyo😆
2026-07-22 20:12:55
1
SEIFF :
😁😁😁
2026-07-22 19:55:24
0
style aminifu :
hyo bado nenda melia serenget ndo ujue watu wanalala ghali mastaa duniani wanalala melia
2026-07-22 17:40:14
1
Bava Ben buta :
hiyo sio hotel bhana iyo ni lodge! na kawaida bei ya ni kubwa kuliko hotel
2026-07-22 20:26:22
0
Otieno :
Nawamiliki piano sio wa Tanzania
2026-07-22 07:52:39
0
mudric' :
mmiliki ni nani
2026-07-22 15:36:22
0
chaaba86@hadzabe :
hiyo ipo bunda mara Tanzania tu wambie wa dar wajue
2026-07-22 15:58:56
0
OFFICIAL CHANSA :
2026-07-22 18:14:35
0
Gulagula :
hicho kitabu bei gani
2026-07-22 18:12:55
0
Bob Julie :
nilishaimba hapo, Pazuri sana🥰🥰🥰🥰
2026-07-22 17:21:18
0
moses edward keyoo :
serengeti kwetu mara tz kama unatoka bunda kuja mgumu
2026-07-23 10:59:42
0
rayshkeykeyraa :
kwa Siku moja ni kwa mtu mmoja or group la watu,kwa sabab hotel km Hizo huwa wanachukuwa watu km vile family lkn kwa mtu mmoja Milion 7 ni kawaida tyu
2026-07-22 18:31:41
0
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm
homepage.