@ardhi_mtaji: USIWEKE LAMINATION KWENYE HATI YAKO @ardhi_mtaji

ARDHI_MTAJI
ARDHI_MTAJI
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 07:45:37 GMT
9074
252
27
78

Music

Download

Comments

viridianamassay
Viridiana Massay :
heee! nilikuwa cjui! sante nimepata elimu
2026-07-22 18:56:56
5
nkpaul90
nk_ :
kama hati inatolewa ikiwa na namba (kama mfano no. ya nida) je, inakuwaje imehalibika na namba si ipo kwenye data za serikali? kwanini uanze ufatiliaji upya na ipo kwenye seva
2026-07-22 19:36:03
1
elishamanase
elisha manase :
Naje kama unazo kwenye soft copy?
2026-07-22 18:58:36
1
shineviewtv
Frankly :
We unavyo ona watu wote tulisikia😁😁😁
2026-07-22 08:39:11
2
user2252817835177
Omega :
Tatizo ni technology tu, hati saivi dunia inafikiria kuziweka kwenye block chain
2026-07-22 19:15:42
0
tajiri_wa_roho
Tajiri wa Roho :
kwanini?
2026-07-22 09:23:32
0
sallyian53
sally :
kama mnataka kutufilisi mseme tu
2026-07-22 21:04:40
0
devotha.mwakyumba
Devotha Mwakyumba :
Ahsante kwa elimu hii
2026-07-23 08:40:25
0
eminence.boy
Eminence Boy💎 :
nahisi kabsa niliwa kusikia ukizungumzia ili swala
2026-07-23 06:54:48
0
amina9487
amina :
hilo ni tangazo la majuzi na wengine tushaweka miaka mini nyuma. sawa kwa kua hatukulijua hilo waturekebishie bila gharama
2026-07-23 07:50:03
0
jumankanda
JAY B :
sas iyo miez michache ndio nn hao kabla ya apo
2026-07-22 21:24:32
0
bushirimagu
azora :
sio hati miliki tu hata kwenye vyeti vyako vya shule ukiweka lamination hicho ni kitu kingine kwenye macho ya kisheria
2026-07-22 16:12:53
0
sallyian53
sally :
sasa zikiliwa na panya?
2026-07-22 21:04:49
1
To see more videos from user @ardhi_mtaji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About