@kasandason: Moja ya matukio ambayo hayasahauliki ni pamoja na hili#tutakukumbuka waziri mkuu mh,#kassim majaliwa 🇹🇿ya viwanda 🇹🇿 yenye uchumi wa kati east afrca #nationalathem #good leader
kwani hizo pesa katoa nani jamani tunaweza kujua hilo
2026-08-08 19:33:00
1
Charlie Gypsum Design.tz :
hawa ndo magufuli alikuwa. anawatumbua lkn serikali ya awamu ya sita sjawah kuskia mtu katumbukiwa. ndo maana mama anapendwa na watumishi t kuanzia traffic sababu rushwa ndo imeanzia huko.,,. lkn hakuna hata mwananchi mmoja anayeikubali hii serikali jmn wakwanza mm apa
2026-07-22 10:42:23
1
Bryson nyakatai Bryson nyakata :
hahahaha hahahaha jaman jaman
2026-08-06 21:01:24
0
18638 :
inauma sababu ajalandugu yake wanamuonea uyo
2026-08-18 08:56:02
0
Deniss Innocent :
Inchi yetu Ina walaji
2026-08-18 08:35:23
0
d.r.a.x.e.n :
wananchi wakipigwa hamuongei ila serikali ikipigwa ndo wanaongea🚮
2026-09-03 07:37:18
0
dudu baya :
haitakiwi kuongea
2026-08-18 20:14:29
0
Ahmad Zahor :
Apo wamepiga
2026-08-18 15:29:35
0
Zamil_03.🦅 :
wapo wengi awoooo
2026-08-18 12:30:26
0
ANGEL_MOTORS TUNDUMA🚗🚛🚘 :
nimekukubali mkuu
2026-08-07 05:22:46
0
To see more videos from user @kasandason, please go to the Tikwm
homepage.