@bintiwayesu30:

BintiwaYesu
BintiwaYesu
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 07:55:10 GMT
94751
9821
279
1152

Music

Download

Comments

itsnana758
Nana🏹 :
Mungu nakushukuru nimepata mtu sahihi jamani uuwi sina cha kumlipa Mungu zaid ya shukrani
2026-07-22 18:12:37
81
leah73069
leah :
Mungu nakuomba unipe mtu sahihi katika maisha yangu 🙏
2026-09-11 06:34:13
3
itss__teeh
itss__teeh :
hii video imenifata hii mara ya 2 imebidi nisikilize na ndo nlikua nimemuomba🙌
2026-07-22 09:13:18
61
lizzbety5
lizzbety :
amina mung nipe mtu sahih
2026-09-08 05:27:27
4
loveness.mwekwa
Loveness Mwekwa :
mungu Nina pokea mtu Sahihi na Kwa wakati sahihi🙏🙏
2026-09-11 11:45:19
0
attu4327
Atu yusuph ❤️ 😍 💖 :
napokea kwa Jina la YESU
2026-09-03 07:15:11
3
user7079233617946
user7079233617946 :
Eee Mungu wangu naomba unipe watu sahihi
2026-07-22 17:26:51
10
eva.bedon
Eva Bedon :
Yaani mwalimu kafundisha kweli kabisa, Yaani mimi nilikuwa namlilia mungu kwamba Mungu mimi nitakuwa masikini mpaka lini nazidi kuwa mkubwa, nilikuwaga naomba huko nyuma lakini siku ile nililia sana lakini Mungu akanisikia. akaniambia ondoka hapa nenda sehemu fulani nikaondoka kweli kabisa Mungu alinikutanisha na mtu ambae sikutegemea anaweza nisaidia tulikuwa hatuna ata mazoea uko utotoni lakini kanifundisha biashara mpaka sasa namshukuru Mungu
2026-07-23 10:29:11
13
agnesmaiko0tiktok.comagn
. :
Mungu naomba unipe mtu sahihi
2026-07-23 19:44:16
1
bestahg8
BestahG :
Mungu naomb unipe watu sahihi kwenye maisha yangu
2026-07-24 12:06:43
1
clemence33196
clemence :
amina
2026-07-25 20:00:13
0
lilian.mollel58
Lilian Mollel :
Mungu wangu ni maombi yangu muda huu naomba unipe watu wema na watu sahihi kwenye maisha yangu Amen
2026-07-23 15:05:40
0
zia72522
Razia🌹🦋 :
mm ntashukuru na kusubir tu🙏🙏
2026-07-22 21:12:12
0
dokii260
Milele us♥️🦋 :
Eeeh mungu naomba unikutanishe na watu sahihi
2026-07-23 10:48:23
1
gladymoses1
gladymoses1 :
Mungu ni mwema kila wakati🙏
2026-07-23 06:25:05
0
roshiny38
Blessed daughter :
eeh Mungu nipe watu sahii katika Maisha yangu
2026-07-22 13:06:13
11
mnganiah
Niah :
Mwl Mwakasege🙌🏻🙏🏻💪🏻
2026-07-22 13:35:20
6
anglique4606
angélique :
kweli kabisa, roho ni dereva muzuri tukitii
2026-07-22 14:28:33
5
ashasimaya
ashasimaya :
amen amen baba
2026-07-23 06:59:09
0
getudalutabana
schön :
Amen Mungu asante kwa kunijibu maombi yangu leo somo nimelisikia
2026-07-23 19:22:54
0
user3195351922047
user3195351922047 :
naomba mungu nikutanishe na mtu sahii
2026-07-23 20:11:16
0
estermwakalebela
ester joseph :
ameeeen mungu naomba mtu sahihi ninauhitaji sana
2026-07-22 18:57:28
1
sevdatz
Nana🦋🥰 :
Amen,namuomba Mungu aendelee kunipa moyo wa uvumilivu🙏🥹
2026-07-24 16:11:43
4
user4299800620138
user4299800620138 :
Amen Amen napokea..iyo Neema leo
2026-07-23 08:27:09
0
To see more videos from user @bintiwayesu30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About