@makaziborabuilders: RAMANI • UJENZI • FINISHING Karibu MAKAZI BORA BUILDERS kwa huduma zote za ujenzi wa nyumba yako kuanzia hatua ya kwanza hadi mwisho. • Ramani za kisasa zinazokidhi mahitaji yako • Ujenzi wenye viwango vya ubora na usimamizi wa kitaalamu • Finishing ya kisasa yenye muonekano wa kuvutia na thamani ya kudumu Sisi tunasimamia kila hatua kwa umakini ili kuhakikisha unapata nyumba bora, salama, na yenye ubora unaostahili. 📞 Wasiliana nasi +255 793 622 49 leo kwa ushauri na kuanza safari ya kujenga nyumba yako ya ndoto. MAKAZI BORA BUILDERS From Your Dream Idea to Your Dream Home. 🏡✨ #MakaziBoraBuilders #Ramani #Ujenzi #Finishing #DreamHome