alipewa chaguo la vinywaji vitatu maziwa,Divai( khamr)na maji.alichangua maziwa na malaika akamwambia kuwa amechagua mambo ya asili na uongofu (fitrah)kwa ajili yake na umma wake
2026-07-22 16:17:40
20
Maryam :
Alhamdulillh nmept faida mungu awalipe kher
2026-07-22 14:47:48
16
Swashy ⭐boy :
kulikua na kilewa na maziwa na asali akachagua maziwa..
2026-07-22 19:19:14
4
najma_shabani :
s.a.w🥰🥰
2026-07-24 21:19:44
1
ismail Razil :
SALLALAHU ALEYHI WA SALAM
2026-07-23 13:21:15
1
AL_MAZRUI STYLE KANZU 😍 :
maziwa
2026-07-22 13:50:34
5
official tatti :
s a w
2026-07-23 06:54:26
3
Naiham :
shukrani Al hajr tv. kutufunza
2026-07-22 14:32:05
3
Tupike pamoja jikoni :
Allahumma swali ala Habibina Muhammad SwalaAllahu alehi wasalam
2026-07-23 04:27:14
1
abdulkadir.bin somo. :
sh ni maziwa
2026-07-22 15:45:41
4
Khaleed saleh :
alichangua maziwa
2026-07-22 16:06:17
4
@Salii ira💜🥰❤️🔥 :
Ma sha Allah
2026-07-22 14:01:54
2
user7793113043556 :
Kulikuwa na kilevi, maziwa pamoja na asali. Mtume wetu Muhammad (a.s.w) alichagua maziwa
2026-07-22 19:40:20
3
amad said :
maziwa
2026-07-22 13:44:11
2
Aaa Aaa :
majiya.zamzam
2026-07-22 16:06:34
1
omar mjukuu :
maziwa
2026-07-22 13:38:37
1
Habibty💋 :
Scw
2026-07-22 16:22:07
2
mwanaidi136 :
maziwa
2026-07-22 14:55:03
1
Naim :
subhannallah❤️❤️❤️
2026-07-22 15:12:31
1
King :
The Prophet Muhammad (peace be upon him) was offered a choice between milk and wine during the Night Journey (Isra' wal-Mi'raj), and he chose milk.