@semakweli_uzito: Zoezi hili linasaidia kuondoa na kupunguza tumbo kama unachangamoto ya kitambi na unene tunakushauri ufanye mazoezi ili kusaidia dam isambae vizuri mwilini ja zingatia mpangilio mzuri wa chakula kama unachangamoto hiyo naomba tuwasiliane ili tuweze kutatua changamoto hiyo Pia Nasaidia watu kupunguza kitambi na uzito uliopitiliza kwa program zinazoambatana na chakula na mazoezi kwa Mawasiliano WhatsApp/call 0786371278#creatorsearchinsights #weightloss #tummytoning #fitnesstips #HealthyLiving