@apostlemathayonnko: Maisha ni jambo la kiroho linalomtegemea Mungu zaidi kuliko nguvu, akili au uwezo wako. Kila pumzi ni neema, kila hatua ni kwa rehema zake, na kila siku tunahitaji kumtegemea Mungu zaidi. Usijiamini wewe mwenyewe kiasi cha kumsahau Mungu, kwa sababu bila Yeye hatuwezi kufanya lolote. #Mungu #NeemaYaMungu #MunguNiMsingi #KumtegemeaMungu #MaishaYaKiroho