@emmanuelmbegalo:

fogo
fogo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 09:31:28 GMT
92379
5065
366
159

Music

Download

Comments

f.r.a.n.k.l.i.n.01
mulas :
boss degree owner ni kumiliki degree anyway GOOD JOB BROTHER 👍👍👍
2026-07-22 10:49:56
0
ngosha111
ngosha :
mie niliwahi kulima matikikiti kwa 4M mpaka Leo nilishapoteza Hadi hamu ya kula matikikiti 😂😂
2026-07-22 13:16:31
50
fedrickluhwago0
fedrick luhwago :
a few moment later
2026-07-22 15:40:53
0
ellysetz
tzgirl_-🦋- :
tulio award degree tupo live😂😃
2026-07-22 15:09:02
0
magoshikanaku
Magoshi Kanaku :
tuchape kaz 💪
2026-07-22 13:01:00
0
tinnoh.boe3
TinnoH @ :
bila kuchoka✊✊
2026-07-22 10:24:06
0
sidesajid
LastBorn :
nshawah lima nyanya nkapata fungu moja, kwenye heka 2, mpaka leo nkiziona nyanya nasonya
2026-07-22 17:42:11
7
user4457617551969
user4457617551969 :
Tafadhali baadae usitukimbie tuoneshe hatua kwa hatua had mavuno
2026-07-22 10:49:56
21
gregory.michael4
Gregory Michael :
watu kumi milioni kumi na tatu mtagawana nini
2026-07-22 11:39:57
8
nass_11b
Nassa :
Nipo na ww...Mungu atupe Afya tumalize izo suku 120
2026-07-22 15:12:45
9
user10443613115096
Idd Kandege :
dah fogo unatisha
2026-07-22 14:01:53
0
lamejok
Menye Irmegoliki. :
Degree Older ndo kitu gani? Sema degree holder
2026-07-22 12:44:40
1
hellensimba
Flowerbeautiful444 :
Niliweka million 3 shambani zikafia hapo mtanishauli nn tena hapo nirudie tenaa🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-07-22 13:08:43
2
jfa.trades7
Ngahatilwa Frank :
nakufatilia kwa karibu sana muvina😁😁😁
2026-07-22 09:56:42
3
user21581153171040
ALY LUHUNDE :
umekodi shamba kwa laki moja bado milioni moja na laki tisa ila hajasema hayo maji kwa gharama ipi au yanakuja yenyewe?
2026-07-22 19:44:49
2
harlinsafari
harlinsafari :
me nakufatilia mpaka mwisho nichukue point 3
2026-07-22 13:27:57
4
mwema03
Milanya :
Kaka Fogo nakupataje kaka yangu uniongoze kwenye suala la kilimo tafadhali nadhalilika myago kono😰😰 ninamtaji kabisa ila sina wa kunisimamia
2026-07-22 09:59:39
2
rajeshy33
sudi :
Huo ni mfano kaka sio uhalisia, bado soko dalali ana kusubiri, mvua nazo bado hazijagoma. hata kilimo kuna kufeli kaka🤣🤣🤣
2026-07-22 13:21:36
1
mwanapwan1
Madam Mwana :
kaka Mimi na penda sana ushauri Wako naomba mungu aniwezeshe na Mimi niipate milioni mbili ilinijikwa mue kiuchumi🥰🥰🥰
2026-07-22 10:30:48
6
enosreal406
UNIQUE JEWELRY :
Nakubali Teacher/Prof Fogo 🔥💪
2026-07-22 10:40:54
0
nurulessa.store
NURULESSA STORE IRINGA :
Mimi niko na wew yan 😂 ndugu yangu
2026-07-22 12:16:02
1
hmmaritz
HM :
Fogo madalali tukale wapi Kama no mtu Kati 😂
2026-07-22 10:58:00
0
tinner3279
Tina :
hao vijana wamwchanga changa ikafika 2M au kila kijana 2M na vibarua ni vijana wenyewe?
2026-07-22 11:56:57
0
nancyanold998
Nancy Anold :
jmn nataman hizi Kaz nipate mtu wa kuniongoza
2026-07-22 10:38:44
4
oppox4858
Mandox :
fogo zao gan?
2026-07-22 10:10:23
0
To see more videos from user @emmanuelmbegalo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About