Kuhusu ujenzi wa mashimo na chemba hiyo nitafute nikuongeze utalama kuhusu chemba hiyo kuna mahra umekosea kidogo
2026-07-24 19:30:11
0
ngekeji construction (NGC) :
asante sana mdau kwa kazi nzuri.
2026-07-26 10:53:43
0
macximo :
mafuta yakijaa utajuaje?
2026-07-22 18:59:36
0
ezekiel :
Mafuta yakijaa yanatolewa?
Jee maji ya bafuni?
2026-07-22 16:08:14
0
Ufugaji :
safi sana
2026-07-22 18:27:14
0
dsimba :
naomba kuuliza hapa, naona umegusia swala la ardhi kunyonya maji. Hivi kama mtu Ana hii kitu sehem moja, maji taka yanapotelea ardhin na anakisima cha maji ya matumizi nyumbani kwenye arhi hiyo moja. je hakuna muingiliano wa hayo maji taka na safi huko chini ya ardhi? unajikuta maji taka ndo hayo unatumia nyumbani 😂
2026-07-24 10:11:50
0
Nyembe fund kupaua :
sahihi
2026-07-22 09:54:40
0
Bernard Plumbing Solution :
safi sana
2026-07-24 16:05:35
0
baba Brian :
bro hizo ni siasa zako tu, there is no way Mafuta ya jikoni yanaweza kujaza ardhi, na pia mafuta kwenye Karo hayana madhara yoyote.
Usitupange
2026-07-23 11:47:25
2
To see more videos from user @bocelamathias, please go to the Tikwm
homepage.