@westmediatz: Mchungaji ambaye ni shabiki na mwanachama wa Simba SC amefunguka kuhusu sakata linalomhusu Sheikh Walid, akieleza mtazamo wake kuhusu mjadala unaoendelea.
WEST MEDIA TZ
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 09:46:23 GMT
Music
Download
Comments
Goldfree Abdulkadil mohamad :
nikiwemo Mimi nimesilimu kupitia Sheikh Walid
2026-07-22 16:02:34
108
George kimboka :
Sisi Tunampenda sana Sisi Wakaristo Wakatoliki Tunampenda sana Hana Chuki Huyo
2026-07-22 16:05:51
39
Mwana :
Very true!
2026-07-22 16:14:26
0
Malikia 21 :
Volume pls
2026-07-22 19:53:14
0
MJASIRIAMALI :
asilimia ngapi mnanipa
2026-07-22 17:45:38
26
Mussa Electronics store :
haswaaaaaaa👏👏👏👏
2026-07-22 19:01:15
0
Dusmin Mweu :
unlock pls we download and send to others pls
2026-07-22 20:43:19
0
🎁💝Bella💖💍💗 :
takbir japo nimkristo ila namkubali sana sheikh warid
2026-07-22 17:20:19
26
𝐒𝐚𝐚𝐝𝐚👑 :
yaani sipo tayari walid awe shekhe wa mkoa tena kiukweli awe mufti wa tanzania nzima
2026-07-22 17:34:55
28
shurah :
He is humble😇
2026-07-22 16:54:10
0
<^king Jordan_23^>¥👻🔐 :
UPO sahihi kabisa,mm ni Mkristo namkubali Sanaaaaa Sheikh Walid
2026-07-22 11:11:05
18
safisana mchungaji umeingea kweli tupu
2026-07-22 16:06:52
29
Abiy-47 :
baba mchungaji subiria salam zako kwa Mwaipopo
2026-07-22 15:59:24
9
Khadeja Ta :
mm huyu Shekh Walid sijawahi hata kumuona live,,naonaga tu mafundisho yake nampenda sana,,Allah amhifadhi
2026-07-22 17:21:12
7
Alex :
mkristo mie hapa ila Shekh warid namkubali sana na nimeumia na huwa nasikiliza visa vyake sana
2026-07-22 15:57:18
8
Farhat Sharifa :
ilo la cm nikwel mm nilimpigia nikamkosa badae alipig akanisikiliza
2026-07-22 11:58:09
6
michael :
wamludishe shehk wetu bwana sie wengine sio waislamu ila tunampenda sana
2026-07-22 16:00:51
5
ezekielchiwinga :
kweli kbs namkubari mm mkristo
2026-07-22 12:20:27
6
teetfan😜😜 :
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼umenimaliza kabsaaa
2026-07-22 15:58:34
6
Sadam Issa :
taarifa muheshimiwa sio alimjaalia , ni Amemjaalia maana bado yupo and we love him so much
2026-07-22 20:22:30
0
Pendo Calvin :
🙏 mm namba moja nimkristu lkn uyubaba mungu amtunze
2026-07-22 18:04:16
1
Sweet Pain❤️🩹 :
ukiskia vita yangu ataipigania Mungu
2026-07-22 17:23:41
1
Khadija Maja :
nikweli upo sahihi
2026-07-22 16:39:37
2
PROFESA MAKAME :
yaan kama bakwata hawaeleqi basi tena
2026-07-22 17:41:01
1
sally.yy :
ukweli mtamu
2026-07-22 16:10:57
3
To see more videos from user @westmediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.