@reporthuru: Polisi wa Kitaifa wa Kongo wamekamatwa washukiwa 2 wanaohusika na shambulio la kikatili dhidi ya afisa wa kampuni ya ulinzi WASSA, Kasumbalesa. Kulingana na taarifa za polisi, mtuhumiwa mkuu ni msimamizi wa kampuni hiyo anayeshukiwa kumshambulia mwenzake wa kazi, Mtuhumiwa wa pili anadaiwa kurekodi video ya tukio hilo na kulisambaza. Washukiwa hao waliwasilishwa mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Mkoa wa Haut-Katanga, Jean-Jacques Kashiba Ntambo,.Baada ya hapo wamepelekwa Lubumbashi kwa uchunguzi zaidi na taratibu za kisheria. Kampuni ya WASSA imetoa taarifa kulaani kitendo hicho, ambapo wameeleza kuwa Mshambuliaji amesimamishwa kazi mara Moja na Aliyejeruhiwa amepatiwa matibabu, Kampuni imesema kitendo hicho ni "kinyume na maadili na mkataba wa kazi" Chanzo halisi cha ugomvi bado hakijafahamika. Polisi wamesema uchunguzi unaendelea ili kubaini nini kilisababisha shambulio hilo. Video ya tukio hilo iliposambaa mitandaoni ilizua hasira kubwa kwa wananchi ambao walidai haki itendeke. #newsupdate #post #trendingreels

REPORT HURU
REPORT HURU
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 09:50:19 GMT
95696
1781
97
109

Music

Download

Comments

renata.lucas747
Renata Lucas :
yani mwanaume unampiga mwanaume mwenzio hivyo kweli jamani😭😭😭
2026-07-24 12:44:54
11
tanah347
𝔐𝔰 𝔱𝔶𝔫𝔢𝔯 🦋✨ :
daah yani kunavitu nikivion umu TikTok naskia hasira mim jamn
2026-07-22 20:57:21
20
immah2222
Immah :
me ata sijaelewa mura😂😂
2026-07-22 20:34:04
10
kukubwege
Kukubwege :
binafsi roho imeniuma sana
2026-08-10 15:25:05
3
user5191161372923
🫧𝐅𝐄𝐋𝐈𝐗🫧 :
aaah weeeh me nakimbilia makangari 🥺
2026-08-11 11:28:28
1
albertzeroprice
Albert Zero price :
pain enough is a dad of somebody😣😣
2026-07-25 09:39:30
2
janethmlawagmail
OPRAH💞💞💞💞 :
nimekasirika mbaka nimeingia period 😭😭😭
2026-08-09 14:00:28
2
mynametz0
『My name…』🫂🇹🇿 :
Ni vile tu jamaa alikuw arudishi
2026-07-22 17:31:10
14
wakandakid9819
IT'S ME ALLY MADIBA :
daaah umenikwaza sana man
2026-08-04 09:51:39
1
assa.george
Assa George :
jamani sema ngoja nitilie maana kuna mazito natakiwa kuya fanyia kazi na itakua fundisho
2026-08-11 20:51:14
1
user8173688309388
Alexis :
aje uku
2026-07-28 01:08:13
1
pascalj360
pascalmaganga490 :
alimkuta ambae hauji,asinge rusha hivyo
2026-07-22 16:33:28
6
kellenge.family
kellenge family :
dah yani inasikitisha adi nashindwa cha kuandika
2026-08-06 11:46:47
1
mchina.master2
Mchina master fashion :
Huwezi amini mimi uku niliko mpaka mikono inawasha siwezi nikakubali kupelekewa ngumi zote izo na nikavumilia lazima tupigane nikikushindwa nakimbia 😂😂😂😂
2026-07-24 12:55:30
7
banadear1
Ba Nadear :
Dah! huyu ni baba wa familia anaetamani afanye kazi ailee familia iwe na furaha....... dah huyu jamaa angekuwa huku TZ sijui tu.
2026-08-05 23:55:04
1
mad.boy204
mad boy 👦 🎮 :
hii ndio maan halis y kua wazee wanapitia meng🥺
2026-07-25 22:05:39
2
edco60
edco :
sasa mlinzi unapigwa ivyo kweli
2026-07-22 22:34:25
1
user6196843530043
elly music@ :
mungu wafunike wazazi wangu maaan uyu ujue ni mzazi wa mtu na anawatt wanamtegemea mungu awaraani awa wacongo
2026-07-30 21:51:20
1
jnako.extand
jnako extand :
Duuh hat hamuach duuh
2026-07-26 00:02:07
1
shabanimadobe797
Shabani Madobe :
dah Kuna watu Awana kabc ibilic lkn me ap tuu
2026-07-25 07:40:50
1
bn.mrmb
Bønâ Mîrâmbø :
wss ndo kinA NANI
2026-07-22 10:04:48
3
user55470629387076
geryrnbtz :
kitu ambacho huwa kinaniiza nikuona watu wanarecod nasio kufanya msaaada wa Africa sijui tumelanika 🥹
2026-07-24 10:19:13
1
saadillah6
saadillah :
leo tik tok yangu imejaa watu wanapigana tu ,subhanallah
2026-08-11 22:54:34
0
rubeog0
RUBE :
sikubali hata awe boss wang
2026-08-12 10:47:52
0
ommycrazy547
Ommy Crazy :
eheeh
2026-07-22 18:21:27
0
To see more videos from user @reporthuru, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About