Kaka naomba nisaidie hili please..'!!
Natumia Simu ya SamsungGalaxy Not 20 Altra 5G nataka ku lock Simu yangu endapo ime potea au kuibiwa Mwizi alie iba ashindwe kuizima na simu yangu haina option ya Lock Screen and Aod but ina Lock screen tu nafanyaje kuweza kuweka hiyo setting.
2026-07-23 03:54:54
0
Jimax trading :
Na ukibadili inakuaje kwenye apps zengine ulizo join kupitia old username
2026-07-22 22:16:13
0
winniey3838 :
Hata password tu nishasahau iyo Gmail nitaikumbuka??😂
2026-07-23 01:46:16
0
Semanao Ngolo :
Nakuomba unifunze kubadilsha jina kwa Facebook
2026-07-22 16:50:55
0
kweji :
ninge ku follow lakini kwasababu umezuia kudanlod siku follow ng'oo
2026-07-23 03:27:37
0
RennyPash :
🔥🔥🔥🔥
2026-07-22 11:13:54
0
VAMC FOOTBALL :
🥰🥰🥰
2026-07-22 11:06:56
0
Nahodhambishi :
🥰🥰🥰
2026-07-23 04:04:20
0
To see more videos from user @bazilipk1, please go to the Tikwm
homepage.