@pastor_kagoro_01: #UKWELIHALISI:NDUGU ZANGU , SALOON ZA KIKE NI DHAMBI YA KUMKOSOA MUNGU imeandikwa Isaya 45:9 [9]Ole wake ashindanaye na Muumba wake! Kigae kimoja katika vigae vya dunia! Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unafanya nini? Au kazi yako, Hana mikono? Sikiliza ushuhuda kwenye bio yangu kwa link niliyokupa

PASTOR JOHN KAGORO
PASTOR JOHN KAGORO
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 22 July 2026 11:03:02 GMT
42961
2392
281
411

Music

Download

Comments

vailethjoseph635
Vayma :
watu wengi tunamsema mtumishi lakini ukiangalia....kiukweli saloon za wanawake tunamkosoa sana Mungu alivotuumba alituona tumekamilika....lakini sasa leo hii mawigi, makucha,makope machoni rangi za kucha sjui rasta, make up zooote hizo tunajiongezea za nini kwann tusiwe halisi kama tulivoumbwa Mungu angetaka si angetuwekea ila yeye aliona tumependeza na tumekamilika.....tuache ubishi tubadilike...Mungu anisaidie na mimi nibadilike zaidi
2026-07-23 06:32:47
61
gthefreethinker
Gibs :
DINI NI MZIGO MZITO,TAFUTENI PESA, MUNGU HANA SHIDA NDOGO NDOGO HIZO
2026-08-04 06:50:24
6
sweetheart33917
last born wa yesu :
watumishi wengi wanajiita wala awajaitwa na mungu
2026-07-23 05:05:59
7
jk.father
jk father :
Nikweli I saw by my eyes 👀
2026-09-04 17:31:42
1
pastor.joswam
Pastor: Joswam :
TUNAHITAJI WATU WAKWELI KAMA WEWE MTEULE, VIPOFU WENGI WATAKUPINGA...
2026-08-07 06:55:37
8
furahajackson8
fera2$nknk🍃 :
we mtumishi hautourithi ufalme wa mungu katika jina la yesu
2026-08-15 20:10:08
0
mtz.og4
mtz og :
Hebu tusimamie kusudi Mungu aliloliweka mbele yetu. Hii mitazamo binafsi isiyokuwa ya kiroho kwa tafsiri zetu binafsi inatupoteza. Tuijue kweli ituweke huru.
2026-08-18 20:15:22
3
mkojogangxtar
Hamis Mkojo :
Kila atumie ability zake maana ushauri umezidi kiasi kwamba mpaka raia wanashindwa kuelewa wafanye lipi na waache lipi
2026-08-22 23:03:45
1
longoson99
Longo 99 :
Fact,Fact,Fact no doubts
2026-07-23 12:05:23
2
user4936273619320
mama rachel :
Eeeh mungu baba naomba unijalie nehema ya kutubu nisiondoke kabla sijatubu
2026-08-11 14:24:10
2
user7882215861343
vicent :
nikwel
2026-07-26 18:05:20
1
perrem.ella
perrem ella :
you are becoming too much mister
2026-08-15 10:17:32
0
angel.light72
angel light :
MUNGU ATUSAIDIE TUUUU
2026-09-05 13:18:24
1
justinewafula115
Justine Wafula :
bibilia inasema usihukumu usije ukaukumiwa Kuna mambo nitakubaliana nawe na mengine hapana
2026-07-22 19:25:31
5
vincentnimuka
Vincent Nimuka :
me siwezi kukumbali ivi maana ya kwamba mtakula kwa jasho , inamaana gan, na imeandikwa asiyefanya kaz na asile me nambieni luwabkufanya kaz dhambi au kujipaka urembo ndo dhambi?
2026-07-29 08:36:59
0
chrissfine
Chriss fine :
tumewakimbia facebook wanatufata huku tena
2026-08-05 12:31:51
0
user682400281lydia254
user682400281 :
tumsifu Christo milele Amina
2026-07-22 14:47:00
5
gidionjohansen
Gidion Ndyanabo. :
uko sahihi mtumishi 100%
2026-07-25 12:57:38
4
e.munyugu
Eliabu Munyugu :
na vipi kuhusu nguo tunazovaa wakati vazi ambalo Mungu aliwatengenezea adam na Eva ngozi ya mnyama. kwa nini wewe pia umevaa nguo pastor? na mbona wewe pia umekata nywele ambazo Mungu Amekupa kwa nini usingekuwa kama Samson ufuge nywele tangu kuzaliwa mpaka leo? nimeuliza hivi pastor sina maana ya kukushambulia natamani tu kupata mtazamo zaidi kutoka kwako. kwa sababu hili unaloliongelea mimi nafikiri kuna kitu kizuri unakimaqnisha ila mfano na namna uliyoielezea ndo inatuchanganya
2026-07-23 02:58:07
4
leopordjames
ARM :
biblia inaonya pia msiwe waalimu wengi
2026-07-22 11:13:17
3
user8419728194765
rehema johson :
hata kwenda kunyoa saloon ni dhambi
2026-07-22 12:30:12
4
emanuelmselele
vms motor :
acheni kupotosha watu someni vizuri maandiko
2026-07-23 14:14:29
1
mariam.mapumba
Mariam Mapumba :
Mtumishi Mimi nimeonyeshwa mambo mengisaana kama matukio ya siku ya mwisho na kila Nikita huwa naandika hapo Mungu anataka kunifundisha jambogani?
2026-07-22 13:34:28
3
maleek_flackooo
longlivebenardo 🇬🇾 :
tiktok ushauri mwingi mpaka kuchanganyikiwa rahisi
2026-08-04 20:53:35
1
To see more videos from user @pastor_kagoro_01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About