@crian_idriss: Argentina FORCED to loose the Final against Spain 🇪🇸 ? This messi video leaked and show the Argentina 🇦🇷 players emotional and messi last talk too emotional to the match
MBONA MWISHO MWISHO MESSI SHUTI LAKE ALILENGA GOLI?😂😂
2026-07-22 11:28:16
198
Achu seven🃏 :
Na messi aliambiwa alie baada ya game kuisha😁😅
2026-07-22 13:23:14
118
Fadhili Mcharo :
with single shot on target 😂😂😂😂
2026-07-22 17:41:42
0
LEO NGUMOHA :
:Enzo was even crying 😢
2026-07-22 16:35:06
1
Baraka Amos :
kwa kweli Kuna namna Ile game Argentina walicheza chini ya kiwango
2026-07-22 11:26:29
38
Mabala the storyteller :
probably
2026-07-22 23:46:41
0
Moh'd Hilali :
haikua na haja ya kujichosha km kwli dakik 90 zingetosha
2026-07-22 11:47:04
34
Sankara 08 :
Zile save za Martinez so powaa we
2026-07-22 20:36:02
0
._Collin :
kama waliwaachiaa zile hasira uwanjani zilikua za nini bana hawa wamezidiwa 🤣
2026-07-22 11:25:53
28
Kelly mwakibete :
messi haongeagi English mkuu ni Ai
2026-07-22 12:15:50
5
jackie🦋 :
kwann alitaka cocurela apewe red card😂😂
2026-07-22 11:43:15
34
ezekia mgaya :
ila unajitahidi kumtetea mess
2026-07-22 11:22:53
17
salmeen burhan :
labda kam kipa wao sio mu argentina😂😂
2026-07-22 12:00:21
6
Jimmy-Tz :
💎 💯 🔥 Cr7 forever 💯 🔥 💎 👍
2026-07-22 11:35:09
6
DEWAR. :
Kwa hayo manane ambayo kaongea Messi naona haihusiani kabsa kaka
2026-07-22 11:15:35
8
Sammy sanny :
walizidiwa maarifa pia nyinyi mmeanza kutuletea AI mingi🤣🤣🤣🤣
2026-07-22 11:30:07
8
dee's :
FIFA WALIWAPA OPTION YA KUFUNGWA AU KUFUNGIWA MIAKA SABA BILA KUCHEZA
2026-07-22 11:40:22
28
Mr. smile :
kaka me navyojua huenda ni kweli maana waliposhinda dhidi ya England waliweka siasa baada ya kubeba lile Bango kuhusu kile kisiwa na hivyoo kutokana na shinikizo la wanasiasa basi huenda ikawa kweli maana ukiingiza siasa kwenye mpira sheria ni kufungiwa mpira kwa almost 10 years
2026-07-22 11:20:33
13
Raymond Msimbe :
sasa alikuwa analia nin😳😳😳
2026-07-22 11:32:05
8
Danson :
me nilijua tu kwasababu mke wa messi na watoto hawakuwepo
Diego semioni pia hakuwepo
raisi wa Argentina hakuwepo
lautaro Martinez hakucheza hata dk1
messi alikuwa anatembea tu Hana time na mchezo yani huu ulikuwa mpango
2026-07-22 21:23:19
5
user2698306784594 :
sio kweli kaka argentina walikua fiti sana ten walicheza vizur ila walizidiwa na ingekua hivyo wangekubali kufungwa mapeeema lakn walipambna
2026-07-22 13:08:09
1
To see more videos from user @crian_idriss, please go to the Tikwm
homepage.