@dtzmedia: Ungekuwa Rais UngezuiaAfcon isichezwe ZANZIBAR

DTZ MEDIA
DTZ MEDIA
Open In TikTok:
Region: EN
Wednesday 22 July 2026 11:26:59 GMT
43763
1758
182
93

Music

Download

Comments

swaagd7
swg tz :
respect our president
2026-07-23 10:01:22
1
nissan.juke14
Miliinnial's a.k.a Gen Y :
that's called Macro Economics .
2026-07-23 13:09:10
0
aleysphone
Aleys’Phone :
Othman masoud genius sana kuliko Maalim seif
2026-07-23 03:07:30
17
user3384162493462
user3384162493462 :
good answer
2026-07-23 09:13:44
0
daniel.mtui1
Daniel Mtui :
omo is the best
2026-07-22 19:59:46
1
sadam.issa97
Sadam Issa :
huyu mzee ana akili sana
2026-07-22 18:47:06
38
bin.issa.ktchen.d
bin issa ktchen dish :
utaandaaje karamu kwa wali wa kudusa broo omo yupo sahih
2026-07-23 03:20:20
15
ajmus00
kadii :
Kumbe hafai kuwa rais
2026-07-23 04:03:45
3
bussarajr
BussaraJr :
chaguo la wazanzibar OMO
2026-07-22 17:47:43
27
user2419762625907
muddy zakuwani :
Omo ni zaidi ya ccm wote
2026-07-22 18:55:16
30
nahliothman_478
najma Ali :
Yani pesa wanazila pesa hazitarudi iyo afcon ikimaliza viwanja vinaota majani mana amani kwenye liki ya zanzibar hupati watu mpaka ndondo
2026-07-22 19:40:18
13
traveller191319
Time traveller :
ukieka ubishi na ushabiki pembeni Omo anaongea fact kabisa
2026-07-22 20:44:55
18
miagie.langoi2
Miagie Langoi :
kwa maji hapo amesema ukweli watu hapa unguja kusini wanategemea mahotel kupata maji ya kutumia Nyumbani
2026-07-22 17:03:42
12
eddy.bilal3
Eddy Bilal :
mmh mbona Sasa itabidi nimfatikie huyu maana yupo vzr
2026-07-22 20:04:17
6
fatawi.khamis.she
Fatawi Khamis Sheha :
hata huu mpira wetu hatuuwezi sijui inakuaje kutaka makubwa wakati madogo hatuyawezi
2026-07-22 19:13:58
9
wakojozaji.tz.com
WAKOJOZAJI :
shida unguja na pemba ni mkoa tu!
2026-07-22 20:02:42
0
jayadhhar
jayadhhar1 :
Una uhakika gani kma pesa zimekopwa nduguuu
2026-07-22 20:08:14
1
abass.aly3
Dr.Alan03 :
Unajua vipi kama hutaki ndio huwezi kumfahamu OMO lkn ukiwa tayari kutaka kumfahamu ndio utajuwa anamaanisha nini.
2026-07-22 19:17:58
15
mau.ame.19
Mau Ame :
unajua mda mwengine hawa viongozi wengine hawajielewi kabisa suala la uwanja ni kitu cha kudumu sio afcon tuuu dsh
2026-07-22 20:17:59
0
ramadha123
ramadha123 :
mimi sio mtu wa sasa Ila hapa hamna Rais
2026-07-23 02:50:31
0
rajabushehiza
Rk master :
mbona kama ana zunguza kama zanzibari ni nchi yakujitegemea ama mm ndosija elewa
2026-07-22 21:25:11
0
ibrahside6
Ibrahside :
sisi tuliotoka familia duni ndo tunamuelew huyu jamaa
2026-07-23 07:29:07
4
hustler.hustling1
Hustler Hustling :
huyu ana maono mapana anafaa kuwa RAIS WA ZANZIBAR milele
2026-07-23 10:23:52
2
kamwelamohamedi
Kamwela Mohamedi :
wenye mihemko ya soka hawatomwelewa ila watu wa uchumi watamwelewa
2026-07-23 10:43:13
1
To see more videos from user @dtzmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About