@auledymdud:

auledymduda5
auledymduda5
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 July 2026 11:50:34 GMT
25192
992
44
16

Music

Download

Comments

jupter3348
jupter :
rais ata kama ujaapishwa uko kwenye mioyo ya watu mkuu
2026-07-22 12:44:53
24
user68787147420275
Lilian alfred :
nimelia baada ya kuona chakula nimejisikia uchungu😭
2026-07-22 17:28:15
4
user8665033812129
user8665033812129 :
dah hii Tanganyika kuna majitu yana roho mbaya sana ila mwisho mbaya kwenu waja kamuulizeni mobutu sese seko.
2026-07-22 13:38:37
9
zimba_mbe
Zimba Electronics :
2026-07-22 17:31:35
2
daudi.ngendo
Daudi Ng'endo :
pamoja natusema tz hakuna demokrasia lkn mimi kwamtazamo wangu tz kidg tunanafuu, mambo kama haya huwezi yaona 🇺🇬
2026-07-22 18:10:02
0
user1905615849262deo
Muasewamu Kadogo :
big up baba mihogo! dah
2026-07-23 10:29:21
1
care_health_tips
wastara 04 :
kweli kabisa nampenda mpaka naumwa❤❤❤❤❤✌✌✌
2026-07-22 13:27:25
3
mbojemasanjazelem
Mboje masanja Zelemani :
mungu pindua meza
2026-07-22 16:55:24
2
boniphaskikois
Poverty is our enemy :
Nampenda sana huyu mtu ni tunu ya Taifa naomba utaratibu wa kupata Kadi ya chadema
2026-07-22 18:08:14
3
user3415904086017
user3415904086017 :
Yaani anafuraha kuliko kitu yoyote
2026-07-22 17:43:30
2
mangi_dalali
Mangii dalali moshi :
akili mioyoo na moyo mtu huyu yupo power full san
2026-07-22 19:43:33
1
user10401539965817
user10401539965817 :
ukisoma isaya 40 10. basi usogope mimi nipo pamoja nawe usifadhaike mim ni mungu wako nitakuimarisha na kukusaidia nitakurida kwa mkono ushindi🙏🙏🙏
2026-07-22 18:30:25
3
suleimanali255
Suleiman Ali :
nimevutiwa na nywele
2026-07-22 18:07:44
2
zenomjuba
Mromboo autor spare parts :
nakupenda rahis wangu
2026-07-22 17:01:26
1
user395278834
shabn :
mi nadhani kama taifa tungetumia muda mwingi kumlinda huyu mwamba anavitu adimu sana avyoweza kutusaidia kama taifa
2026-07-23 13:58:26
0
yasinta.samson4
Yasinta Samson :
😭😭😭😭 Maskini inauma kuona mtu asiyekuwa na hatia anayapitia haya , Mungu wa mbingun muumba Mbingu na nchi na vyote vilivyomo, Nakuomba Baba muondolee haya mateso mwanao lissu
2026-07-23 10:16:31
1
suzy.endaseni
Suzy Endaseni :
jamani adi uruma
2026-07-22 13:38:34
0
nehemia996
KING :
MUNGU AKULINDE LISSU
2026-07-22 20:10:34
0
suleimanali255
Suleiman Ali :
qmwnek2i287262gdhenwjwh
2026-07-22 18:07:14
0
abilius06
abilius06 :
hiv huu ulinzi wote unamlinda mtu mmoja tu, au kuna wengn wanalindwa😭😭😭😭😭😭
2026-07-23 14:36:04
0
nehemia996
KING :
MUNGU MWEMA AZIDI KUKULINDA LISSU
2026-07-22 20:11:11
0
user9985454579517
stanley :
mungu ndio kila kitu
2026-07-23 05:37:55
0
goodluckyofficially3
goodlucky :
viva lisu
2026-07-22 19:17:22
0
emmastartgimail.com
EMMA STAR 🌟 :
Tunakupenda Rais wetu Lissu
2026-07-22 16:24:56
0
To see more videos from user @auledymdud, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About