@al.akhi.naasir7: Mwanamke Mwenye dini ni Nani

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 22 July 2026 12:06:16 GMT
39266
6467
231
658

Music

Download

Comments

kijanx
@ :
kumbe mim ninadini allah anijalie niwez malizia na kuhifadh qur an
2026-07-22 15:27:38
68
user92773142583046
ن :
Hakika Allah atujaalie tabia njema
2026-07-22 12:15:23
18
muanajumatauriboa
maira lipwe :
Asalam alaikum ostadh mm nataka kujua,, kama mwanamke anataka kuolewa alafu siku ya ndoa akaona ada yake yan hedhi gafla siku hiyo ya ndoa na ndoa ikapita je ndoa inaswihu?? naomba kujua 🙏🙏
2026-07-22 12:25:37
10
rukshana598
Rukshana :
Assalam aleikum,waeza swali mbele ya kioo
2026-07-22 13:53:20
2
user699173868522
fetyhb :
subhanallah Allah avinusuru vizazi vyetu
2026-07-23 08:41:13
1
azmina306
azmina 🥰💟 :
utamjuaje mwanaume mwenye tabia nzuri na anaishi mbali na watu wako wa karibu na anataka kukuoa
2026-07-22 12:31:38
12
dj.chuga
Dj chuga :
Mimi nasubuka kweli kupata mke mwenye dini
2026-07-23 15:47:49
1
salhaty083
🦋💫salhaty💦💫 :
hicho kisa kuna dada angu alitusimulia jomon Allah atulinde
2026-07-23 05:52:20
7
user7770849757275
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
maashaallaah
2026-07-22 14:41:55
2
timahamza43
timahamza97 :
nihakika kabisaa Allah atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲 yarabilameen ☝️
2026-07-23 11:15:11
3
mwanaa418
Mwanaa :
Astaghfiru Allah,Mungu tujaalie tuwe wenye kufuata dini yetu kikamilifu
2026-07-23 02:17:20
2
user3598282816192
sauda :
Asante san shee leo nimejifunz kitu mashaalaah mung akujaalie her uendelee kutuelewesha kwa yale tusio yafaham
2026-07-24 13:21:19
1
user44908133104463
kuluthumu :
mashaallah allah akuzidishie zaidi huwa najifunzaa mengi sanaa kupitiaa wew
2026-07-23 12:24:31
2
rukiabeiby
rukiabeiby :
SubuhnaAllha 🥲
2026-07-22 14:22:48
6
muslimgirl.nuu
أم حفصة :
Sahihi kabisa sheikh jazakallahu khayran
2026-07-22 21:08:13
2
abrizo00
Abrizo :
allah atuongoze katika dini yake
2026-07-23 14:19:25
1
ukhuty34
فقيرة الئ الله منئ 💓 :
2026-07-22 14:15:54
2
nasma5046
Nasma🧕🦋 :
MashaAllah 🥰🥰
2026-07-22 14:18:56
3
rukia.manduta
Rukia Manduta :
Allah akutunze na aendelee kukuongoze maana kutoka tunafaham mengi hasa kwa sisi maamuma
2026-07-23 16:59:45
1
amina.juma139
Amina Juma :
subuhanallah mungu atupe mwisho mwema
2026-07-22 12:41:13
6
user16379006962463
yunaitham❤️💞💞💞💞❤️ :
yarabi mwenyezimungu tuongoze
2026-07-22 21:34:26
1
ibrahimdologwa
Ibrahim Dologwa :
Allah akuhifadhi
2026-07-22 12:27:05
2
bi.jamila6
Bi Jamila :
NAAAM ,
2026-07-22 14:57:06
1
baliatu070
BALIATU07 :
subhanaallah😭
2026-07-22 14:21:33
1
user7616821874774
Ukhty Najath :
Subhan ALLAH@
2026-07-22 14:19:04
1
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About