@atuganilemwakosya: JOSEPH AHUBIRI INJILI KWA MACHOZI 😭🙏 Kilio kwa Ajili ya Nafsi Zilizopotea! Katika ujumbe wenye mguso wa kipekee, Joseph alihubiri Injili kwa machozi, akitoa wito wa toba na kuwasihi watu wamrudie Yesu Kristo kabla haijachelewa. Alisisitiza kuwa Mungu bado anawaita wote waliopotea na kwamba wokovu unapatikana kwa kila anayemwamini Kristo. "Leo, kama mtaisikia sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu." #Injili #Tubu #YesuAnaokoa #KilioKwaAjiliYaNafsiZilizopotea
aisee acheni iii kitu mungu analia na ss vijana anasema nawapenda sana mbona niliwaumba kwa upendo mkubwa sana kunamuda unaumia so kwa ajily yako baly kwa ajily aina ya maisha watu walio chaguwa kuishi na unajiikuta inakuima vibaya mno tena sana
2026-07-25 08:14:29
4
suleimanmnyama687 :
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
2026-07-24 19:41:46
1
Saby kimolo :
Mungu aktunze mtmishi 🙏🙏🙏
2026-07-23 15:17:37
1
Empress :
vijana tumrudie mungu dunia itatumaliza
2026-07-25 09:16:44
1
shine🦋 :
ameni🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-25 16:11:18
0
Zawad Halidi :
mungu mkumbuke uyu kijana na uzao wake jamani
2026-07-24 03:11:58
0
Melichades Felician :
Amina
2026-07-25 16:48:01
0
Janeth Mwanisenga :
Mungu Akubariki sana
2026-07-22 13:28:32
1
pewa :
😭😭😭😭😭😭 Mungu aturejeze kwenye kiti chake cha Rehema
2026-07-23 11:57:53
0
Debor :
🙏🙏🙏🙏
2026-07-23 07:58:55
0
SAMWEL :
🙏🙏🙏
2026-07-22 21:09:11
0
SAMWEL :
😭😭😭
2026-07-22 21:09:08
0
SAMWEL :
😁😁😁
2026-07-22 21:09:06
0
Miss malundo :
🙏🙏🙏
2026-07-22 13:22:55
1
Leader Mwakikuti :
😭😭😭😭
2026-07-22 17:35:35
1
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm
homepage.