Niliishi Arusha miaka mitatu lkn nilirudi na bag la volcano tu.
2026-07-23 07:14:48
89
MWALIMU SALANGA :
Mimi mkulima bamia karibuni Tunduru
2026-07-22 16:00:50
64
Ismoo :
Ndiyo maana mimi Napenda Mbeya,Njombe,Iringa na Songea.
2026-07-22 14:09:58
64
servarick :
Moshi na Arusha ni miji ya starehe- Kutumia pesa.
Kama moshi ukitaka kupoteza pesa zako nenda kajitafute uko.
Fogo🙌🙌Big fact.
2026-07-22 13:34:42
74
Tino JF Stories :
mimi nilikuwa nakaa pwani, bagamoyo, nkawa na life gumu sana, nikahamia madale life likatight mara mbili nikaamua kuuza vitu vya geto nikahamia sehemu moja inaitwa Bomang'ombe huko Kilimanjaro (Moshi) maisha yalichange kwa haraka sana
mafanikio ya mtu yapo mahali anapoendana napo, sio kila mtu akikaa kusini atatoboa, kusini kumekaa kiukulima zaidi kama mtu huna raha ya mkulima unapaswa ukae kaskazini au pwani huko ni kutumia akili kuliko nguvu
2026-07-23 09:42:48
35
mrs irene ❤️ :
mimi nataka kuhamia dodoma nishaurini jmn
2026-07-23 12:40:13
17
ericb347 :
Kaskazini nenda Manyara
2026-07-23 06:12:44
14
lucymwansasu :
na vyenyewe wabaguzi sasa
2026-07-23 04:07:11
31
Mr Sokwe :
Nimezaliwa kaskazin ila ni kugumu sana, hamna fursa za wazi, kila kitu kimekamatwa, halafu ile kujuana, wanatambuana kwa ubini wao.... mtu anatoka nyumbani anajua anaenda kufanya biashara na nani.
2026-07-22 12:31:52
12
Fuime :
Mimi nataka kwenda Zanzibar, unanishaurije Mkuu?
2026-07-23 07:05:15
8
mark_haruni_ :
kusini sawa ila siyo lindi...
2026-07-23 14:16:12
6
Nancy Anold :
😁natakiwa kuhama kaskazini🤣🤣🤣haraka iwezekavyo
2026-07-23 04:00:00
13
Peter Malewo :
Kaka acha kuwatisha watu na kusema uongo juu ya jamii za watu, kuna watu wametoka kanda nyingine wapo kaskazini na wamefanikiwa
2026-07-23 15:03:45
8
Vladimir :
Lakini Iringa sio Iringa Mjini aisee 😁
2026-07-22 12:51:25
9
magomba magomba :
Njooni kanda ya ziwa mwanza geita katoro muganza chato nyehunge kahama n k
2026-07-23 09:07:10
5
bonne :
Shida sio hao watu au eneo, shida ni una pumzi ya kupambana kushinda wao?
2026-07-23 06:17:51
19
barakafrance2 :
mimi mwenyewe mchaga lakine maisha yg nafanyia mbeya kilimo cha mpunga hawa jamaa wamebarikiwa bro
2026-07-23 05:08:19
18
aymtonga :
sio kweli popote kambi
2026-07-23 11:21:33
6
Karim Kim's ♈️ :
Ni kweli bro kaskazin sio mchezo
2026-07-23 01:18:09
6
Baba Vivian :
sure bro Mimi naashuhudia Sasa na Wana wivu sana
2026-07-23 04:33:43
9
Irung Tours & safari Tz🇹🇿 :
Hapana Arusha si wabaguz wana upande.sema fursa ndio hakuna.
2026-07-23 07:47:26
7
umaskini sio sifa :
hayo ni mawazo tu kikubwa ni nani unakutana naye
2026-07-22 14:45:25
5
mpitanjia :
kwani moshi na Kilimanjaro kuna utofauti?
mimi ni muhehe nipo moshi na ninaishi kiloo safi2. na tajiri wangu mchaga
2026-07-23 19:37:21
3
To see more videos from user @emmanuelmbegalo, please go to the Tikwm
homepage.