Kadhi wa Arusha shekh Shaban aliniambia mm kuwa kitendo cha rafiki wa mke wangu kuniona na mwanamke yyte halafu akamuambia yeye mke wangu tayari ni fumanizi na ana haki ya kudai talaka kwa sababu ushahidi unatosha! hebu angalia jinsi mashekh hawa wa Bakwata walivyo wanafiki, kilichotokea mke alienda bakwata kudai talaka kwa madai ya kunifumania wkt si kweli yeye Shaban aliamini nikaitwa na kuelezwa, nikamuomba shekh amuulize alinifumaniaje mke wangu akashindwa kusema kwa sababu sio kweli sasa kwa kuwa kadhi alihongwa tayari ndio akasema hayo ya ushahidi kutoka kwa shoga inatosha iwe sababu! Niliwaambia ikiwa mnaijua haki lkn kwa makusudi mmeamua kuipindisha basi fanyeni mlilolikusudia mm naenda bsi kadhi alimpa talaka, Walhah tokea hapo mzazi mwenzangu amekua na wkt mgumu sn kimaisha na anamlaani mno shekh Shaban wkt ni yeye na waliomdanganya ndio walimhonga Shaban ili apate talaka!
2026-07-22 18:18:54
0
To see more videos from user @darsatv, please go to the Tikwm
homepage.