kununua kuni za elfu kumi na tano na kununua umeme wa elfu kumi na tano si ni yale yale tu na apo kuni nimepunguza bei labda za elfu ishirini ndio zinatosha maana ivyo vikuni vya sasa jamaniii
2026-07-23 06:27:36
10
user7782346947487 :
Una backup ya umeme what if ukikatika?
2026-07-23 08:37:49
5
Deacon_david :
umeme wa hapa niwaviwandan kabisaa😁
2026-07-22 17:43:56
34
🇵🇸نعيمة🇹🇿 :
hoq much i need
2026-07-23 03:11:21
0
Mesia 🦋Temu :
🔥🔥@asilia pro ,viungo vyako ni balaa sanaa ,asante sana ,pilipili yako ndo usisemee nzurii sana 🙌🙌
2026-07-22 21:02:04
9
Vee💙🦋 :
sorry je! umeme ukikatika inakuaje???
2026-07-22 22:25:22
14
everything kanike :
napenda watu wanaofikiri tofauti! this is great! unaweza kutuambia matumizi yake ya umeme ni kiasi gani?
2026-07-23 06:53:17
8
Geey💞💋 :
Leo sili msinihesabie
2026-07-22 19:26:23
7
@️:@️: " ️" copy this :
Naomba tunaweka viungo vyote hivyo Kwa kizingatia afya ya mwili au ladha ?
2026-07-22 19:32:42
5
moonchild :
napatA wapi hiyo pressure cooker
2026-07-23 10:46:09
0
MUUH Tz _ 💖💖 :
matumizi mabaya ya umeme
2026-07-23 08:54:00
0
Sugemkoma :
jamani yanapatikana wap?
2026-07-23 07:02:25
0
sayu katoto :
mara paaaa umeme umekatika😳😂
2026-07-23 07:34:11
0
Chichita :
Mi naomba kujua umenunua wapi
2026-07-22 20:37:59
1
BAFANAog :
hv s itakuwa inakula sana umeme ety mamy
2026-07-23 06:07:53
0
To see more videos from user @asiliprofoods, please go to the Tikwm
homepage.